У нас вы можете посмотреть бесплатно Wakazi wa Misungwi kuondokana na kero ya maji или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Wakazi wa Wilaya Misungwi mkoani Mwanza, wanatarajia kuondokana na adha ya upatikanaji wa maji safi na salama baada ya kukamilika kwa mradi wa maji uliopo katika Kijiji cha Nyahiti wilayani humo. Mradi huo ambao uko kwenye hatua za mwisho kukamilika, jana uliwekewa jiwe la msingi na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ambapo hadi kukamilika kwake utagharimu shilingi bilioni 12.85 ikiwa ni fedha za Benki ya Uwekezaji ya Ulaya (EIB), Shirika la Maendeleo la Ufarasa (AFP) pamoja na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mradi huo unatekelezwa na kampuni ya “China Civil Engeneering Construction Corparation” chini ya usimamizi wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Jijini Mwanza (MWAUWASA) ikiwa kupitia mpango wa uboreshaji huduma za maji safi na usafi wa mazingira ya Ziwa Victoria. Na George Binagi-GB Pazzo, BMG