У нас вы можете посмотреть бесплатно EYES OF PROSPERITY SEMINAR (DAY 1) - PASTOR SUNBELLA KYANDO или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mungu kabla hajakuinua hukubadilisha kwanza maana bila kufanya hivyo hutoweza kufikia hatma ambayo amekuandalia.Yesu alipanda mlimani na wanafunzi wake watatu;Yakobo,Yohana na Petro lakini ni Yesu pekee aliyebadilika na wao walibaki vilevile japokuwa wote walikuwa sehemu moja.Kwa sababu tu uko nao ofisi moja haina maana kuwa mtakuwa na maisha sawa.Kuna wengine ofisi ni hiyohiyo,mshahara na huohuo lakini wengine wanafanikiwa kimaisha na wengine wanarudi nyuma kimaisha. UNAWEZA WASILIANA NASI AU KUTUMA SADAKA YAKO KWA NAMBA HII : 0657 173 322 Unaweza kutufuatilia katika mitandao yetu ya kijamii Like our Facebook: / therealityof. . Follow our Instagram: / realityofch. . Subscribe our YouTube: https://www.youtube.com/channel/UC67L...