У нас вы можете посмотреть бесплатно EYES OF PROSPERITY SEMINAR (DAY 2) - PASTOR SUNBELLA KYANDO или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
GENERATIONAL BLESSINGS Kuna baraka ambazo Mungu huziachilia kwa mtu,lakini pia kuna baraka ambazo Mungu huziachilia kutoka kizazi hadi kizazi.Kama ambavyo kuna laana ambazo zinatembea kutoka kizazi kimoja kwenda kingine,pia kuna baraka zinazotembea kutoka kizazi kimoja kwenda kingine.Mungu akitamka baraka juu yako basi ataifuatilia hadi itokee.Shetani hatoacha kujaribu kupigana ili kukupishanisha na baraka zako lakini katika hayo yote Mungu atakuonesha njia ya kutokea. Ikiwa ni siku ya pili ya semina hii karibu ujifunze somo hili kutoka kwa Mtumishi wa Mungu Pastor Sunbella Kyando ambalo litakusaidia kuona kwa jicho la kiMungu changamoto inapokupata ni nini kilicho nyuma ya hiyo changamoto. UNAWEZA WASILIANA NASI AU KUTUMA SADAKA YAKO KWA NAMBA HII : 0657 173 322 Unaweza kutufuatilia katika mitandao yetu ya kijamii Like our Facebook: / therealityof. . Follow our Instagram: / realityofch. . Subscribe our YouTube: https://www.youtube.com/channel/UC67L...