У нас вы можете посмотреть бесплатно Dizasta Vina - Not A Hero или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Official Lyrics Video for Tanzanian hip hop artist, songwriter, and record producer Dizasta Vina, Performing a record 'Not A Hero' Off the Album 'A father Figure' Stream/Download Not A Hero Boomplay - https://www.boomplay.com/songs/188023113 Audiomack - https://audiomack.com/dizastavina/son... Mdundo - https://mdundo.com/song/3324764 Spotify - https://open.spotify.com/album/7it4TZ... Apple music - / not-a-hero-single Lyrics Nikiwa narudi kutoka kwenye sherehe za mahafali Nikakatiza kwenye mtaa wenye taa mbali Kwahiyo giza kubwa nikiwa na tahadhari Huku nikitafakari Vipi maisha yatakuwa? shule nimeua naingia mtaani Je nitapata kazi au nitalamba nyasi? Au nitaingia shambani ama nitaishika gun? Mawazo kichwani kama nitaipata mali Mbele namwona Lily, tunaenda njia moja Maana tunakaa mtaa mmoja, Just kona mbili Bado alikuwa amevaa joho la kuhitimu Na mkononi simu, akibofya nini.. Alitembea kulia kushoto, mwendo wa madaha Sometimes aruke kidogo kuonyesha furaha Aliyapiga majani kwa fimbo Nilisikia sauti kwa mbali akiimba wimbo Nilitamani kumwita niliogopa Nilibaki nyuma nilizuga sikumkaribia Maana Kitambo ninamjua ila daily tu navunga Vile mazoea hatuna na namfagilia Haikutokea siku, nidiriki kuthubutu hata Kumfata kumwomba contacts, Japo tunajuana tulisoma sekondari, Msingi na vidudu kumfuata niliona woga Moyoni napiga kelele "Come and save me" Nazama kwenye bahari hii ya mapenzi Pengine pia alinihusudu ila sikuwa kamili Pengine nilikuwa na nguvu ila sikuwa jasiri Aligundua kuwa, namfata kwa nyuma Aligeuka aliniangalia nikauchuna Alinipungia mkono niliupunga pia Lakini bado nilivunga sikumkaribia Hofu iliufunika upendo wangu Kila nikimwaza yeye niliiwaza kesho yangu NIlitamani mrembo asimame nimsemeshe soga Labda mikono tushikane tutembee pamoja Alikuwa karibu pia alikuwa mbali Nilijua kuwa naye penzini ingekuwa zali Nilitamani kumfata nimweleza nilichowaza Nilishindwa 'cause... (I'm not a Superhero) Ile haikuwa filamu so, I was not (a Hero) Ushujaa ni dhahania uhalisia hauna (Hero) (Yeah yeah yeah, I'm not a Superhero) (Yeah yeah yeah) Alitembea mbele nilibaki nyuma Mimi na moyo wangu mpweke uliojaa ufa Nikifurahia jinsi asili ilivyomuumba Nikijua dhahiri hofu haitazaa tunda Niki-fantasize siku atakuwa wangu Nikiomba mizimu ya mapenzi isikie dua zangu Na baridi ilinipiga ila haikufua dafu Nilikuwa mkavu Nilizidiwa na mawazo hisia nilikuwa nazo moyoni tele Masomo tumemaliza nitakuwa simwoni daily Mawazo nilipoyarudisha ndipo hofu ikanishika Niligundua Malaika yule simwoni mbele Sikusogea karibu nilishapagawa Hisia ziliniambia kuna kitu hakikuwa sawa Nikasikia purukushani nikaingiwa hofu Nikavamia Karakana chini ya gari bovu Nikajificha Nikaona vijana wamefura dhambi Mkononi mapanga usoni wamekula Maski Wakamwingiza Lily kwenye karakana Hawamkumvua nguo zake walizichanachana Nilimwona Lily, Lily aliniona mimi Tukagonganisha Macho ila sikutoka chini Akijua kuwa nina mpango wa kumsaidia Niliogopa nikamvungia akaanza kulia Maninja walimbaka mmoja mmoja Wakigombea kuanza hawakutaka ngoja ngoja NIlitamani muda urudi nimsemeshe soga Labda asingevamiwa kama tungekuwa pamoja Akipiga kelele "Come and save me" Sauti yangu hata kutoka tu haiwezi Pengine yale yalinihusu ila sikuwa kamili Pengine nilikuwa na nguvu ila sikuwa jasiri Alininyooshea mkono sikuunyoosha pia Alitamani nitoke niende kusaidia Hofu iliufunika upendo wangu Nilipoyaona mapanga niliiwaza kesho yangu Alikuwa karibu, ila alikuwa mbali Kutoka kumwokoa pengine ingekuwa zali Nilitamani kumfata nimwondoe kwenye mkasa Nilishindwa 'cause (I'm not a Superhero) Ile haikuwa filamu so, I was not (a Hero) Ushujaa ni dhahania uhalisia hauna (Hero) (Yeah yeah yeah, I'm not a Superhero) (Yeah yeah yeah)