У нас вы можете посмотреть бесплатно Wanaume Wanachezea Kipigo kutoka kwa Wake zao Iringa или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Gumzo: Wanaume Iringa wanapigwa na Wake zao. Wanawake wa Wilaya ya Kilolo Mkoani Iringa wamefunguka na kuongea mengi kuhusu Suala la Wanaume katika Mkoa huo wanavyochezea kichapo kutoka Kwa Wake zao pamoja na Changamoto nyingine wanazopitia Nyumbani. Wanawake hao wameyasema hayo wakati wakizungumza na Mbunge wa Jimbo la Kilolo Mkoani Iringa, Ritta Kabati, ambaye alifika katika Kata ya Ng'uruhe kusikiliza kero na Changamoto zinazowakabili Wapiga kura wake, ambapo pia aliungana na Wanawake hao kutafuta Suluhu ya Barabara zilizoharibiwa vibaya na Mvua kubwa zinazoendelea kunyesha. Focus TV ni chombo cha habari cha mtandaoni kinachorusha Maudhui yanayohusu Habari, Mitindo ya Maisha, Utamaduni, Michezo na Burudani kwa kuyaongezea thamani kwa maslahi ya umma. ................. Focus TV is one of the Best Online TV Conveying Content and adding values for the public interest. Focus TV is here to provide you with contents covering News, Education, Lifestyles, Culture, Sports and Entertainments. Focus TV imesalijiliwa Nchini Tanzania na kupewa Leseni ya kurusha maudhui mitandaoni kutoka Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA). Asante kwa kuchagua kutufuatilia | Thanks for Subscribing We Love You | Tunakupenda Regards Team Focus TV Tanzania #FocusTVTanzania