У нас вы можете посмотреть бесплатно Safari ya Ujasiri ya Mbunge Jimbo la Kilolo Iringa Kujionea Kero ya Barabara Zinazotesa Wananchi или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Safari ya Jasho na Ujasiri wa Mbunge wa Jimbo la Kilolo Mkoani Iringa, Ritta Kabati, alipoamua kufanya ziara maalum Jumapili ya Machi 01, 2026 kukagua barabara korofi kuanzia Kata ya Dabaga, Idete hadi Kimala katika Jimbo la Kilolo Kwa lengo la kushuhudia na kujionea Mwenyewe Kero na Changamoto ya Miundombinu ya Barabara inayowakabili Wananchi wake katika Jimbo la hilo katika kipindi hiki cha Mvua. Focus TV ni chombo cha habari cha mtandaoni kinachorusha Maudhui yanayohusu Habari, Mitindo ya Maisha, Utamaduni, Michezo na Burudani kwa kuyaongezea thamani kwa maslahi ya umma. ................. Focus TV is one of the Best Online TV Conveying Content and adding values for the public interest. Focus TV is here to provide you with contents covering News, Education, Lifestyles, Culture, Sports and Entertainments. Focus TV imesalijiliwa Nchini Tanzania na kupewa Leseni ya kurusha maudhui mitandaoni kutoka Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA). Asante kwa kuchagua kutufuatilia | Thanks for Subscribing We Love You | Tunakupenda Regards Team Focus TV Tanzania #FocusTVTanzania