У нас вы можете посмотреть бесплатно 🅻🅸🆅🅴 IBADA YA FARAJA, MSIBA WA NEEMA CHARLES KINYASI (06/12/2025) или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Marehemu Neema alikuwa akisumbuliwa na tatizo la shinikizo la damu kwa kipindi kirefu. Mnamo mwezi wa 9 mwaka huu, alipata ajali maeneo ya Chanika Italiani, iliyosababisha kuvunjika mguu na kuteguka mkono. Alipatiwa matibabu na maendeleo yake yalikuwa mazuri. Hata hivyo, ghafla mnamo tarehe 03.12.2025 majira ya saa tano asubuhi, alipatwa na tatizo la shinikizo la damu la juu na kukimbizwa katika Hospitali ya Nguvu Kazi – Chanika, ambako kwa bahati mbaya aliaga dunia. Neema alizaliwa katika imani ya Kikristo kupitia Kanisa la Anglikana. Baadaye aliongozwa na Roho Mtakatifu na kujiunga na Kanisa la Waadventista wa Sabato, ambako alibatizwa mwaka 2000. Katika maisha yake ya kiroho, alilitumikia kanisa kwa uaminifu katika nyadhifa mbalimbali ikiwemo: • Shemasi • Karani wa kanisa • Muimbaji wa kwaya ya kanisa • Mwanachama wa Dorcas • Na hadi umauti unamkuta alikuwa Mwenyekiti Msaidizi wa Kwaya ya kanisa Ukonga Background image designed by Freepik www.freepik.com