У нас вы можете посмотреть бесплатно HATA NIKAE MADARAKANI WIKI MOJA/ WAZIRI MKUU AFUNGUKA MADEREVA WA SERIKALI WAFUATE SHERIA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Novemba 26, 2025 anafungua Maadhimisho ya Wiki ya Usafiri Endelevu Ardhini Mwaka 2025 yanayofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam. Malengo ya maadhimisho hayo ni pamoja na kuimarisha usalama na ufikivu wa huduma za usafiri wa nchi kavu kwa kukuza mifumo salama, jumuishi na endelevu ya usafiri wa ardhini kwa njia ya barabara na reli Pia, yanalenga kukuza ushindani wa haki na ubora wa huduma katika usafiri wa nchi kavu kwa kuhakikisha waendeshaji wanatoa huduma za bei nafuu, zenye uhakika na ubunifu chini ya mfumo madhubuti wa udhibiti wa LATRA. Kaulimbiu ya maadhimisho hayo ni “Nishati Safi na Ubunifukatika Usafirishaji.” #wazirimkuu #mwigulunchemba