У нас вы можете посмотреть бесплатно Chama cha ODM chamuondoa Sifuna kama katibu mkuu wa chama или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Chama CHA ODM kimemuondoa ofisini Edwin Sifuna kama katibu mkuu wa chama hicho na kumpa mikoba ile mwakilishi wa wanawake katika kaunti ya Busia Cathrene Omayo japo kama kaimu kabla ya kuchaguliwa kwa katibu mwingine. Makubaliano hayo na yalioafikiwa kwenye kamati kuu ya chama,viongozi wale pia wamebaini kuwa wataandaa mkutano mkuu wa chama ili mwezi wa tatu wakitarajia kuzungumzia kuhusu mwelekeo wa chama hicho. Wakati huo huo , chama cha ODM kimetangaza kuwa wameanza mikakati ya kujiondoa kwenye chama cha Azimio. Zablon Macharia na taarifa ile.