У нас вы можете посмотреть бесплатно Mahakama Kuu yasitisha kuondolewa kwa Sifuna kama katibu Mkuu или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Baraza la kutatua Migogoro ya Vyama vya kisiasa limesitisha kuondolewa kwa Edwin Sifuna kama Katibu Mkuu wa ODM, hadi pale kesi aliyowasilishwa kupinga hatua ya chama hicho itaskizwa na kuamuliwa. Katika uamuzi wake, baraza hilo limeagiza kusimamishwa mara moja kwa uchapishaji wa kuondolewa kwa Sifuna katika Gazeti Rasmi kama katibu Mkuu. Awali Sifuna alikuwa amepinga uamuzi wa chama cha ODM akisema hakuwa nafasi ya kujitetea.