У нас вы можете посмотреть бесплатно Wafanyabiashara Kwale waunga mkono matumizi ya nguvu dhidi ya magenge или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Wafanyabiashara katika Kaunti ya Kwale wamejitokeza na kuunga mkono agizo la Kamanda wa Polisi Ukanda wa Pwani Ali Nuno, linalowataka maafisa wa usalama kutumia bunduki kukabiliana na wahalifu wa magenge ya Panga Boys. Wakazi hao wameeleza kuwa hatua hiyo ni muhimu kutokana na kudorora kwa usalama miongoni mwa wananchi wanaoshambuliwa na kukatwa kwa mapanga kila uchao. Wameitaka serikali kupiga doria na kuendeleza Operesheni kali ili kuhakikisha usalama wa mali na maisha unarejea.