У нас вы можете посмотреть бесплатно WOLPER AFUNGUKA BAADA YA KUVALISHWA PETE YA UCHUMBA “ACHENI NILIE” GHARAMA YA PETE NI ZAIDI YA MIL.8 или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Ni Agosti 15, 2021 ambapo staa kutokea kwenye kiwanda cha flamu nchini Tanzania, Wolper amefanyiwa suprise ya kuvalishwa Pete na mzazi mwenzake Rich Mitindo. Akizungumza na Ayo TV & millardayo.com Rich Mitindo alisema…“Mimi ni mtu wa ku-google sana na ndio maana nikaamua kumfanyia hiki mpenzi wangu kwani ni vitu vinavyogusa sana, Gharama ya Pete ni uwezo wangu ba bei zipo kuna za Dola 4000”- Rich Mitindo “Nimelia kwasababu kama mtu akiona basi nimelia kutoka moyoni ni Baba mtoto wangu niacheni nilie na hapa kwanza nataka nikaanze live nilie”- Wolper