У нас вы можете посмотреть бесплатно #LIVE или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
#ikulu #raissamia #ikuluzanzibar #uvccmtaifa #uvccmmwanza #uvccm #rcmwanza #rsmwanza #wazirimkuu #bungelatanzania #bungedodoma #mamboyandani #mamboyanje #wizarayaelimu #dodomakwanza #dodomajiji #ofisiyamakamuwarais #ofisiyawazirimkuu Serikali inatarajia kutekeleza ujenzi wa barabara ya Hungumalwa wilaya ya Kwimba hadi wilaya ya Magu mkoani Mwanza kwa kiwango cha lami, ili kutatua adha iliyokuwa ikiwakabili wananchi kutokana na barabara hiyo kukatika mara kwa mara wakati wa msimu wa mvua. Hapa ni uzinduzi wa mashina ya wakereketwa wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya Kwimba, ukitekelezwa na katibu wa chama hicho mkoa wa Mwanza Omary Mtuwa, ambapo ametumia fursa hii kuwasilisha ahadi hiyo kwa wananchi. Mashina hayo yamezinduliwa, wakati chama hicho kinatimiza miaka 49, tangu kilipozaliwa Februari 2 mwaka 1977, ambapo pamoja na mambo mengine amewahimiza wanachama wa (CCM) na watanzania kwa ujumla kuwa wazalendo wa taifa lao. Pamoja na mambo mengine, chama hicho kimewataka viongozi wa ngazi za matawi na kata kushuka kwenye matawi yao, ili kutatua changamoto za mabalozi, wanachama na wanachi katika maeneo wanayoishi.