У нас вы можете посмотреть бесплатно Hayati Dkt. John Pombe Magufuli alikuwa Mzalendo kweli kwa Tanzania, Kassim Majaliwa или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Waziri Mkuu Mstaafu Kassim Majaliwa ni miongoni mwa wastaafu waliohudhuria Misa Takatifu ya kumbukizi ya miaka mitano (5) ya kifo cha Hayati Dkt. John Pombe Magufuli aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa Awamu ya Tano iliyofanyika Chato, Mkoani Geita, ambapo katika salamu zake amesema Hayati Dkt. Magufuli alikuwa mzalendo wa kweli kwa Taifa Aidha, Majaliwa amesema Hayati Dkt. Magufuli alikuwa mstari wa mbele katika kupambana na wala Rushwa, wezi, wazembe na wabadhilifu wa mali za umma, na kwamba kutokana na sababu hizo Hayati Dkt. Magufuli kumbukumbu zake hazitafutika kwenye mioyo ya Watanzania