У нас вы можете посмотреть бесплатно KILIO CHA MAJI UZINI CHAGEUKA FURAHA BAADA YA UPATIKANAJI WA MAJI SAFI или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mwakilishi wa Jimbo la Uzini, Ndugu Said Hassan Msingiri, amesema changamoto ya muda mrefu ya uhaba wa maji kwa wananchi wa Jimbo la Uzini, Shehia ya Miwani, sasa imepata ufumbuzi baada ya kupatikana maji safi na salama. Ametoa kauli hiyo baada ya uzinduzi wa kisima cha maji kilichopo Kitope, Shehia ya Miwani, Jimbo la Uzini, Mkoa wa Kusini, akiwataka wananchi kutumia na kutunza vyema miundombinu ya maji ili huduma hiyo idumu na kuepuka changamoto za baadaye. Kwa upande wake, Sheha wa Shehia ya Miwani, Ndugu Hassan Othman Mweleza, amesema atawahamasisha na kuwasimamia wananchi kuhakikisha wanakitunza kisima hicho kwa manufaa ya sasa na vizazi vijavyo. Nao wananchi wa eneo hilo wamepongeza jitihada za Mwakilishi wa Jimbo hilo kwa kutekeleza ahadi ya kuwapatia kisima cha maji, wakisema mradi huo ni mkombozi mkubwa wa changamoto ya maji iliyowakabili kwa muda mrefu. #AsamOnlineTV #Uzini #Miwani #MajiSafi #MaendeleoYaJamii #Zanzibar