У нас вы можете посмотреть бесплатно DK NCHIMBI AKIKAGUA UKARABATI WA JENGO LA OFISI YA MAKAMU WA RAIS или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
DAR ES SALAAM: MAKAMU wa Rais Balozi Dk Emmanuel Nchimbi ametembelea na kukagua ukarabati wa Jengo la Ofisi ya Makamu wa Rais iliyopo Mtaa wa Luthuli, Posta Jijini Dar es Salaam Januari 29. Makamu wa Rais ambaye yupo Jijini Dar es Salaam kwa shughuli mbalimbali za kikazi amekagua maendeleo ya ukarabati pamoja na uwekaji wa vifaa na samani katika ofisi mbalimbali zilizopo katika jengo hilo. Baada ya ukaguzi huo, Katibu Mkuu wa Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Dk Richard Muyungi, amemuhakikishia Makamu wa Rais kwamba ukarabati huo umekamilika kwa asilimia mia moja na Jengo litakuwa tayari kwa matumizi kuanzia tarehe 04 Februari 2026. Follow us on: FACEBOOK; SpotiLeo: / spotileo-176. . HabariLeo: / habarileo DailyNews: / dailynewstz INSTAGRAM; HabariLeo: https://instagram.com/habarileo_tz?ig... SpotiLeo: https://instagram.com/spotileo?igshid... TWITTER; Twitter HabariLeo: https://twitter.com/HabariLeo?s=09