У нас вы можете посмотреть бесплатно Nimefika Mwisho! A Father's Painful Encounter или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Depressed, Hungry and Hopeless! "Nilikuja huku kwa ajili ya kutafuta na kusaidia watoto wangu lakini siyo vile nilitarajia. Maisha haijakuwa rahisi kwangu, nimekuwa nikilala njaa na kushinda njaa! Nafanyia kampuni moja huku, hadi niliwaomba wanisaidie hata shilingi Mia tano ( Ksh.500) lakini hakuna mtu alinisikia, waliniambia mimi ni mgeni, siwezi saidiwa hivyo haraka. Nilianza kazi tarehe 4, na nishakula mara tatu tu tangu siku hiyo kwa kusaidiwa na wale ambao wananionea huruma. Na siyo kwamba sina kwangu, watoto wangu wote wako nyumbani, inaniuma sana sababu hakuna vile naweza saidia. Naogopa kurudi nyumbani sababu sijui vile nitawaelezea na nilikuja kutafuta. Wamekuwa wakilala njaa. Wengine ni wa Secondary na wengine ni Primary na wote wako nyumbani. Napigiwa simu, mimi mwenyewe sina ya kukula hata, nashinda tu na maji kwa chupa hii nikingoja bahati. 😢 Nafanya kazi ya ulinzi wa usiku na malipo ni elfu sita ( Ksh.6,000), na kitambo ikuje ni bahati pia. Saa zingine nakosa hata nguvu ya kuamka asubui sababu tumbo haina kitu, ni maji tu, kizunguzungu kila saa..." Mzee He left home with hope—to work, earn, and give his children a better life. Instead, he found hunger, rejection, and despair. For weeks, he has survived on nothing but water. As a night guard for Ksh.6,000 a month, he begged for just Ksh.500 to buy food, but was denied—told he was "too early" to need help. 💔 At home, his children wait—hungry, out of school, hoping for a father who has nothing left to give. He fears going back empty-handed, unable to face their disappointment. No one should suffer like this. No parent should have to choose between starving alone or returning home with nothing... No amount is too small to support! M-Pesa Paybill: 400 200 Account: 661 096 Name: Makanda Foundation Or Number: 07 13 48 14 36 (Phelix Joel)