У нас вы можете посмотреть бесплатно Jinsi ya kutengneza subtitles kwa kutumia Premiere pro cc New Feature Made Easy или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Website yetu: https://www.joelmediaeducation.com/ Kumekua na mcahakato mrefu sana wa kutengeneza caption au subtitles ndani ya video editing software ikiwemo Premiere pro, bahati nzuri sana ni kwamba kutokana na updates zililetwa kwenye adobe premiere pro ya mwaka 2022 na kuendelea zoezi hili limekua rahisi zaidi kulifanya. Kwa kutumia Artificial Intelegence unaweza kutengeneza caption au subtitles kwa kuclick tu mara mbili na kutengeneza caption very simple. Uwe pamoja nami katika video hii kwani nimekuonyesha hatua kwa hatua nama ya kutengeneza caption hizo wi less effort na kuweka style mbalimbali sambamba na kusave custom file. Dondosha maoni yako katika sehemu ya comment, share na wengine wajifunza, like na Subscribe ili uendelee kujifunza zaidi kupitia chaneli yetu. Premium Courses: https://www.joelmediaeducation.com/ Download Free Music: (No Copyright): https://uppbeat.io?referral=joel-4zfn5 Follow me on Instagram: / joemediagro. . Facebook https://linktr.ee/joemediagroup_ Twitter: https://linktr.ee/joemediagroup_ Email: [email protected]