У нас вы можете посмотреть бесплатно Fahamu namna ya kutumia adobe premier pro sehemu ya kwanza или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Katika video hii utajifunza namna ya kutumia adobe premier pro hatua kwa hatua kama ifuatavyo 1. kucreate new project 2. kuimport project (video, picha logo nk) 3. kupanga clip,picha au logo katika timeline 4. kukata na kudelete video 5. kuweka effects mbalimbali (transition, video effects nk 6. Kuexport project yako ( format tofauti tofauti) Ni dhahiri kwamba baada ya kumaliza kuangalia video utakua na uwezo wa kutumia adobe premier pro katika shughuli zako hata kama hujawahi kabisa kuedit video kwa kutumia program hii. Hata hivyo usisahau kusubsrcribe katika channel hii ya joemediagroup ambapo utapata kujifunza mambo mengi yanayohusiana na matumizi ya adobe premier pro Mawasiliano I do ** Design Logo /Sticker /Calender | Flyers| Posters |Product label | Banners and all issues related yo graphics design photography and videography | For inguries Intagram I Facebook I Twetter I Youtube I JOEMEDIAGROUP I Call 0745 152 680 /0653 152 680 /0627 150 780 I DESIGN / PRINTING / BRANDING