У нас вы можете посмотреть бесплатно USALAMA KWANZA!!! BASHUNGWA ATOA WIKI MOJA TU KWA TEMESA // MENEJA APIGIWA SIMU, "VIFAA VILETWE" или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemuagiza Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA), Lazaro Kilahala kuhakikishia anasimamia masuala ya usalama katika vivuko vyote nchini ili viweze kutoa huduma bora pamoja na kulinda usalama wa mali na abiria. Aidha, Bashungwa ametoa wiki moja kwa TEMESA kuhakikisha wanapeleka vichanja vya kuhifadhia shehena za mizigo na bidhaa katika Kivuko cha MV Kilindoni kinachotoa huduma za usafiri Wilayani Mafia na Nyamisati Mkoani Pwani. Bashungwa ametoa maagizo hayo Machi 22, 2024 akiwa Wilayani Mafia wakati alipokagua utendaji wa Kivuko hicho na kusikiliza kero za wananchi wanaokitumia ambapo pamoja na mambo mengine amesisitiza Watendaji na Wakuu wa Taasisi za Serikali kuhakikisha wanatatua changamoto za wananchi kwa wakati kama maelekezo ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan anavyoelekeza.