У нас вы можете посмотреть бесплатно HAYA NDIO MADARAJA MAKUBWA MATANO KUJENGWA JIJINI DAR... или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) imetekeleza ujenzi wa madaraja makubwa matano katika maeneo ya Mtongani–Kunduchi, Mkwajuni na Kigamboni, hatua inayotoa suluhisho la kudumu dhidi ya changamoto ya mafuriko iliyokuwa ikiathiri wakazi wa maeneo hayo kufuatia mvua kubwa za El-Nino za mwaka 2023/2024. Akizungumza jijini Dar es Salaam, Meneja wa TANROADS Mkoa wa Dar es Salaam, Mhandisi Alinanuswe Kyamba, amesema miundombinu hiyo mipya imejengwa kwa viwango vya kisasa ili kuhimili maji mengi na kuhakikisha mawasiliano hayakatiki tena wakati wa masika.