У нас вы можете посмотреть бесплатно MIRADI HII YA DHARURA KUFUNGUA FURSA ZA KIUCHUMI WILAYANI NYASA NA SONGEA VIJIJINI или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Kukamilika kwa ujenzi wa Daraja la Mkili lililopo katika barabara ya Mbamba Bay–Lituli mkoani Ruvuma kutaleta manufaa makubwa kiusalama na kiuchumi. Manufaa hayo yanajumuisha kurahisisha usafirishaji wa mazao ya ziwani hususan samaki na mazao yake kwenda sokoni, pamoja na kurahisisha usafiri wa bidhaa na huduma kutoka mjini kwenda maeneo ya kandokando ya Ziwa Nyasa. Hayo yameelezwa na Mhandisi Mkazi Msaidizi wa Miradi ya Mpango wa Dharura (CERC) Mkoa wa Ruvuma, Mhandisi Rubara Marando, wakati wa kukagua maendeleo ya ujenzi wa daraja hilo katika eneo la mradi, ambapo utekelezaji wake umefikia asilimia 95. Mhandisi Marando amesema Mkoa wa Ruvuma unanufaika na miradi miwili ya Mpango wa Dharura (CERC) inayofadhiliwa na Benki ya Dunia, ambayo ni ujenzi wa Daraja la Mitomoni lenye urefu wa mita 45 na Daraja la Mkili lenye urefu wa mita 20.