У нас вы можете посмотреть бесплатно #TAZAMAl или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Watuumiwa watatu katika kesi ya jinai namba 11 ya mwaka huu wameachiwa huru kwa kudaiwa Mwendesha Mashtaka wa Serikali kuondoa nia ya kuwashtaki. Kesi hiyo yenye mashtaka mawili ya kupanga njama za mauaji na kudaiwa kufanya mauaji ya askari Koplo Gurlas Mwita inayosikilizwa katika mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha imesalia na watuumiwa 24 baada ya watuumiwa watatu kuachiwa huru. Watuhumiwa hao ni pamoja na Mtuumiwa namba 3 simel palangoi, Mtuumiwa namba 22 lekelenga oyee na Mtuumiwa namba 23 Fred victor. Follow us on: FACEBOOK; SpotiLeo: / spotileo-176. . HabariLeo: / habarileo DailyNews: / dailynewstz INSTAGRAM; HabariLeo: https://instagram.com/habarileo_tz?ig... SpotiLeo: https://instagram.com/spotileo?igshid... TWITTER; Twitter HabariLeo: https://twitter.com/HabariLeo?s=09