• ClipSaver
  • dtub.ru
ClipSaver
Русские видео
  • Смешные видео
  • Приколы
  • Обзоры
  • Новости
  • Тесты
  • Спорт
  • Любовь
  • Музыка
  • Разное
Сейчас в тренде
  • Фейгин лайф
  • Три кота
  • Самвел адамян
  • А4 ютуб
  • скачать бит
  • гитара с нуля
Иностранные видео
  • Funny Babies
  • Funny Sports
  • Funny Animals
  • Funny Pranks
  • Funny Magic
  • Funny Vines
  • Funny Virals
  • Funny K-Pop

Jionee Ziara ya Waziri wa Ulinzi na JKT Alipotembelea Kamandi ya NAVY скачать в хорошем качестве

Jionee Ziara ya Waziri wa Ulinzi na JKT Alipotembelea Kamandi ya NAVY 4 года назад

скачать видео

скачать mp3

скачать mp4

поделиться

телефон с камерой

телефон с видео

бесплатно

загрузить,

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
Jionee Ziara ya Waziri wa Ulinzi na JKT Alipotembelea Kamandi ya NAVY
  • Поделиться ВК
  • Поделиться в ОК
  •  
  •  


Скачать видео с ютуб по ссылке или смотреть без блокировок на сайте: Jionee Ziara ya Waziri wa Ulinzi na JKT Alipotembelea Kamandi ya NAVY в качестве 4k

У нас вы можете посмотреть бесплатно Jionee Ziara ya Waziri wa Ulinzi na JKT Alipotembelea Kamandi ya NAVY или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:

  • Информация по загрузке:

Скачать mp3 с ютуба отдельным файлом. Бесплатный рингтон Jionee Ziara ya Waziri wa Ulinzi na JKT Alipotembelea Kamandi ya NAVY в формате MP3:


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru



Jionee Ziara ya Waziri wa Ulinzi na JKT Alipotembelea Kamandi ya NAVY

Tarehe 12 Oktoba, 2021 Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Mheshimiwa Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) amefanya ziara ya kutembelea Kamandi ya Jeshi la Wanamaji (Navy Command) iliyopo eneo la Kigamboni jijini Dar es Salaam. Mheshimiwa Waziri ametembelea Kamandi ya Jeshi la Wanamaji ikiwa ni siku ya pili ya ziara yake ya kutembelea Kamandi za Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania MKOANI Dar es Salaam, kwa lengo la kujitambulisha, kujionea utayari kiutendaji, miundo pamoja na changamoto na namna wanavyokabiliana nazo kiutendaji katika kulinda mipaka ya nchi yetu kwa upande wa baharini na kwenye maziwa. Alipowasili Makao Makuu ya Kamandi hiyo alipokelewa na mwenyeji wake amabye pia, ni Mkuu wa Kamandi hiyo, Meja Jenerali Michael Mwanandenje Mumanga akiwa pamoja na wanadhimu wa Kamandi, Wakuu wa Vikosi na Shule pamoja na maafisa. Mara tu baada ya kuwasili Makao Makuu ya Kamandi, Mheshimiwa Waziri alipokea Salaam ya Heshima iliyoandaliwa na Gadi ya Mapokezi na kisha kusaini Kitabu cha Wageni, kabla ya kutembelea gati (dockyard) na chelezo (slipway) na ujenzi wa Jengo la Wodi ya Mama na Mtoto unaotekelezwa na Kamandi hiyo kwa kutumia fedha za ndani. Jengo hilo litapokamilika litakuwa limegharimu takribani milioni 120 na pia, litatoa huduma za matibabu kwa familia za Maafisa, Askari, Watumishi wa Umma pamoja na wananchi waishio maeneo ya jirani. Baada ya Mheshimiwa Dkt. Stergomena Lawrence Tax kupatiwa Taarifa ya Utendaji ya Kamandi ya Jeshi la Wanamaji, iliyosomwa kwake na Meja Jenerali Mmanga, Taarifa iliyohusu Historia, Mkao wa Kamandi, Majukumu ya Kamandi, Maeneo ya Uwajibikaji, , Changamoto ya Miundombinu Zana na Vifaa, Mkakati wa Kamandi pamoja na Mapendekezo ya Kamandi ya kukabiliana na changamoto ziliyowasilishwa kwake. Akitoa taarifa ya Kamandi Jenerali Mmanga alimweleza Mhe Waziri kuwa, Kamandi ya Jeshi la Wanamaji ikiwa ni sehemu ya JWTZ, yenye majukumu makuu mawili. Majukumu hayo ni yale ya kiasili (Traditional Roles) yanayojumuisha kuimarisha ulinzi wa mipaka ya baharini na kwenye maziwa, operesheni zote ndani na nje, kusindikizaa meli za Biashara za hapa nchini na za nchi rafiki, kutoa misaada ya utaftuataji, uokoaji na uopoaji wa watu na vifaa kutoa misaada wakati wa maafa na majanga kwa kushirikiana na vikundi vingine, kufanya shughuli za kidiplomasia kwa meli zetu kutembelea mataifa mengine pamoja na kulinda raslimali za nchi yetu zinazopatikana baharini. Aidha, Meja Jenerali Mumanga alibaianisha aina ya pili kuwa ni yale majukumu ya kupambano dhidi ya uhalifu baharini na kwenye maziwa (Contemporary maritime Roles) yanayojumuisha utekaji na uporaji, ugaidi baharini, biashara za magendo, uvuvi haramu uchafuzi wa bahari, usafirishaji na usambazaji wa madawa ya kulevya pamoja na uhamiaji haramu. Mara tu baada ya kupewa taarifa hiyo, Dkt. Stergomena Lawrence Tax alimshukuru Mkuu wa Kamandi na Maafisa Wanadhimu kwa mapokezi mazuri aliyoyapata baada ya kuwasili hapo Makao Makuu ya Kamandi pamoja na taarifa nzuri iliyompa mwanga katika kutekeleza majukumu yake ndani ya Wizara. Aidha, Mheshimiwa Waziri aliweka bayana kuhusu madhumuni ya ziara yake kwenye Kamandi hiyo, kuwa ililenga kuwatembelea kwa lengo la kujitambulisha, kufahamiana, kujifunza shughuli mbalimbali wanazozifanya pamoja na changamoto wanazokabiliana nazo. Na kupitia mhadhara huo, ameweza kujifunza mengi. Kuhusu changamoto, Mheshimiwa Stergomena Lawrence Tax amewaasa Wanamaji kuwa changamoto ni nyingi na ni halisi, cha msingi ni kuzifanyia uchambuzi wa kina kuona ni zipi ziweze kuchukuliwa hatua na Wizara kwa kuzingatia vipaumbele na zile changamoto ndogondogo ambazo ziko ndani ya uwezo wao waendelee kuzifanyia kazi. Mwisho Mheshimiwa Waziri aliwataka kuendelea kutekekeleza majukumu yao kwa weledi, maana Jeshi ni watu wanaofanya kazi kwa weledi.

Comments
  • UTAPENDA, Waziri wa Ulinzi na Jkt, Mhe. Dkt Tax Ashuhudia Maonyesho ya Ndege za Mafunzo Tanga 3 года назад
    UTAPENDA, Waziri wa Ulinzi na Jkt, Mhe. Dkt Tax Ashuhudia Maonyesho ya Ndege za Mafunzo Tanga
    Опубликовано: 3 года назад
  • 🔥 Трамп и Зеленский – в шаге от МИРА! Пресс-конференция с Мар-а-Лаго 53 минуты назад
    🔥 Трамп и Зеленский – в шаге от МИРА! Пресс-конференция с Мар-а-Лаго
    Опубликовано: 53 минуты назад
  • WAZIRI WA ULINZI NA JKT ATEMBELEA KAMANDI YA JESHI LA ANGA 3 года назад
    WAZIRI WA ULINZI NA JKT ATEMBELEA KAMANDI YA JESHI LA ANGA
    Опубликовано: 3 года назад
  • WAZIRI WA ULINZI AONGOZA UPANDAJI MITI  MAKAO MAKUU YA ULINZI WA TAIFA NA VIWANJA VYA WATUMISHI 10 месяцев назад
    WAZIRI WA ULINZI AONGOZA UPANDAJI MITI MAKAO MAKUU YA ULINZI WA TAIFA NA VIWANJA VYA WATUMISHI
    Опубликовано: 10 месяцев назад
  • MIAKA 60 YA UHURU, Mkuu wa Kamandi ya Jeshi la Anga Aelezea Mafanikio. 3 года назад
    MIAKA 60 YA UHURU, Mkuu wa Kamandi ya Jeshi la Anga Aelezea Mafanikio.
    Опубликовано: 3 года назад
  • ⚡️ ПУТИН СРОЧНО звонит ТРАМПУ перед встречей с ЗЕЛЕНСКИМ! ВОТ о чем ДОГОВОРИЛИСЬ! ПОСМОТРИТЕ 3 часа назад
    ⚡️ ПУТИН СРОЧНО звонит ТРАМПУ перед встречей с ЗЕЛЕНСКИМ! ВОТ о чем ДОГОВОРИЛИСЬ! ПОСМОТРИТЕ
    Опубликовано: 3 часа назад
  • LIVE: RAIS SAMIA ANAWATUNUKU KAMISHENI MAAFISA WAPYA WA JWTZ - DODOMA Трансляция закончилась 4 года назад
    LIVE: RAIS SAMIA ANAWATUNUKU KAMISHENI MAAFISA WAPYA WA JWTZ - DODOMA
    Опубликовано: Трансляция закончилась 4 года назад
  • WAZIRI BASHUNGWA AKIMWAGIA SIFA CHUO CHA TAIFA CHA ULINZI -NDC AONGEA NA MAAFISA NA ASKARI 2 года назад
    WAZIRI BASHUNGWA AKIMWAGIA SIFA CHUO CHA TAIFA CHA ULINZI -NDC AONGEA NA MAAFISA NA ASKARI
    Опубликовано: 2 года назад
  • Kwata la kimyakimya la Wanajeshi wa Tanzania Uhuru Day 2016 9 лет назад
    Kwata la kimyakimya la Wanajeshi wa Tanzania Uhuru Day 2016
    Опубликовано: 9 лет назад
  • Уйгурские боевики в Сирии обещают в следующий раз напасть на Китай 1 год назад
    Уйгурские боевики в Сирии обещают в следующий раз напасть на Китай
    Опубликовано: 1 год назад
  • WAZIRI WA ULINZI NA JKT , Dkt Stergomena Tax, Akiwasilisha Hotuba ya Bajeti Bungeni Tarh 20 Mei 2025 7 месяцев назад
    WAZIRI WA ULINZI NA JKT , Dkt Stergomena Tax, Akiwasilisha Hotuba ya Bajeti Bungeni Tarh 20 Mei 2025
    Опубликовано: 7 месяцев назад
  • Гитлер в цвете (документальный фильм о Второй мировой войне в 4K) 1 год назад
    Гитлер в цвете (документальный фильм о Второй мировой войне в 4K)
    Опубликовано: 1 год назад
  • Ziara ya Waziri wa Ulinzi na JKT Alipotembelea Makao Makuu ya JKT 4 года назад
    Ziara ya Waziri wa Ulinzi na JKT Alipotembelea Makao Makuu ya JKT
    Опубликовано: 4 года назад
  • WAZIRI WA ULINZI NA JKT MHE  DKT HUSSEIN MWINYI ALIVYOKABIDHIWA VIFAA VYA KIJESHI KUTOKA MAREKANI 5 лет назад
    WAZIRI WA ULINZI NA JKT MHE DKT HUSSEIN MWINYI ALIVYOKABIDHIWA VIFAA VYA KIJESHI KUTOKA MAREKANI
    Опубликовано: 5 лет назад
  • Rais Kikwete  alipowatunuku Kamisheni maafisa 437 wa Jeshi la Kongo na JWTZ Monduli Arusha 11 лет назад
    Rais Kikwete alipowatunuku Kamisheni maafisa 437 wa Jeshi la Kongo na JWTZ Monduli Arusha
    Опубликовано: 11 лет назад
  • WAZIRI WA ULINZI NA JKT DKT. STERGOMENA ATEMBELEA MAKAO MAKUU YA KAMANDI YA JESHI LA AKIBA MANYONI 1 год назад
    WAZIRI WA ULINZI NA JKT DKT. STERGOMENA ATEMBELEA MAKAO MAKUU YA KAMANDI YA JESHI LA AKIBA MANYONI
    Опубликовано: 1 год назад
  • Waziri Stergomena Tax Afurahishwa na GUARD YA MAPOKEZI ya Wanajeshi Wanawake  DFHQ 4 года назад
    Waziri Stergomena Tax Afurahishwa na GUARD YA MAPOKEZI ya Wanajeshi Wanawake DFHQ
    Опубликовано: 4 года назад
  • MAFANIKIO MIAKA 60 YA UHURU, Mkuu wa Kamandi ya Jeshi la Wanamaji Rear Admiral Mumanga Aelezea zaidi 4 года назад
    MAFANIKIO MIAKA 60 YA UHURU, Mkuu wa Kamandi ya Jeshi la Wanamaji Rear Admiral Mumanga Aelezea zaidi
    Опубликовано: 4 года назад
  • They HUMILIATED the Cleaner — and they PAID FOR IT | Anatoly GYM PRANK #57 7 часов назад
    They HUMILIATED the Cleaner — and they PAID FOR IT | Anatoly GYM PRANK #57
    Опубликовано: 7 часов назад
  • #TBCONLINE: HISTORIA YA JESHI LA ULINZI LA WANANCHI WA TANZANIA 1 год назад
    #TBCONLINE: HISTORIA YA JESHI LA ULINZI LA WANANCHI WA TANZANIA
    Опубликовано: 1 год назад

Контактный email для правообладателей: [email protected] © 2017 - 2025

Отказ от ответственности - Disclaimer Правообладателям - DMCA Условия использования сайта - TOS



Карта сайта 1 Карта сайта 2 Карта сайта 3 Карта сайта 4 Карта сайта 5