У нас вы можете посмотреть бесплатно WITO: FRANK ONYANGO KABLA YA SITATI MALIZA KWANZA NA MWANKEMWA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mithali 18: 17 “Ajiteteaye kwanza huonekana kuwa ana haki; Lakini jirani yake huja na kumchunguza.” Ukisikiliza upande mmoja tu, unaweza kufikiri huyo aliyeanza kusema yuko sahihi.Lakini ukweli kamili hutoka baada ya kusikia upande wa pili pia. Hii ni kanuni muhimu sana ya kuujua ukweli. Frank Onyango huwa hapendi ukweli wa upande wa pili ujulikane, ndiyo sababu amekuwa akitaja majina ya watu ambao anajua amekuwa akiwakwepa kuwajadiliana nao. Mfano ni Mwalimu Daniel Mwankemwa wa TZ, ambaye hata pale anapoomba kuingia kwenye chanel ya Farnk Onyango ili kujadiliana huzifuta haraka comments za Mwalimu Daniel Mwankemwa. Katika ufafanuzi huu pia, nitatumia video zake zilizorekodiwa kusahihisha upotofu kwa sababu anaogopa kuja mubashara kwa kuogopa kuhojiwa mambo ambayo anayafundisha kwa sababu hana majibu yake ya kweli bali ni Off-Shot. Karibuni 🎙️ New to streaming or looking to level up? Check out StreamYard and get $10 discount! 😍 https://streamyard.com/pal/d/55802598...