У нас вы можете посмотреть бесплатно FANYA HAYA KABLA UJAANZA UJENZI WA NYUMBA YA KUISHI или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Leo ni siku nyingine tena sisi AISAM BESTLAND tupo na wewe katika kukuhakikishia unakuwa salama zaidi kwenye suala zima la uwekezaji wako wa ardhi yaani viwanja vya makazi, biashara nyumba pamoja na mashamba. Kwa dakika hizi chache utafahamu mambo muhimu ya kuzingatia kabla ya kuanza ujenzi wa nyumba yako ya kuishi…..huu ni mfululizo wa mada kwa ajili yako hivyo kama bado huja subscribe fanya hivyo kwa kubofya neno SUBSCRIBE kisha alama ya kengele ili ufaidike na mada zetu zijazo twende kazii…. 1️⃣JAMBO LA KWANZA unatakiwa kufahamu uelekeo wa jua katika pande za nyumba unayotaka kuijenga ili kuepuka usumbufu wa joto au mionzi mikali ya jua kwenye nyumba yako hasa kipindi cha kiangazi. 2️⃣JAMBO LA PILI unatakiwa kufahamu historia ya uelekeo wa upepo katika eneo husika ili kuepuka vumbi kipindi cha ukame/kiangazi au Maji(mpepea) kipindi cha masika fanya hivyo kwa kuuliza majirani. 3️⃣Fahamu aina ya udongo katika kiwanja chako ili kujenga nyumba inayoendana na ardhi/udongo husika ili kudhiti madhara ya baadae mfano; Nyufa, kutitia nk. 4️⃣Kuchagua mafundi wazuri(weledi) na waaminifu na kazi yao. ZINGATIA: Epuka kuchukua mafundi ovyo kwani baadhi yao ni wezi wa malighafi za ujenzi kama vile cement,nondo,bati n.k 5️⃣Andaa kiasi cha pesa(budget) na ratiba ya usimamizi kipindi cha ujenzi. Ila hii haikulazimishi uwe na pesa taslimu kwani kila mtu ana uwezo usiolingana katika kumudu gharama za ujenzi. 6️⃣Hakiki document(nyaraka) zote kuhusu umiliki wa plot yako na jiridhishe kabla ya kuanza ujenzi kuepuka usumbufu wa kubomolewa au kuingia kwenye migogoro. 7️⃣Andaa ramani ya nyumba yako kulingana na uwezo wako kisha iwasilishe serikalini ili kupata kibali cha ujenzi(construction lisence) KWA ELIMU NA USHAURI PAMOJA NA KUPATA OFA ZA VIWANJA VYETU JIUNGE KWENYE GROUP LETU LA WHATSAPP BURE SASA KWANI TUNA MRADI WA VIWANJA VYA KURASIMISHA NA KUPATA HATI MILIKI YA WIZARA PALE KISEMVULE OBEY V.I.P CITY. LINK IKO KWENYE MAELEZO AU TUTUMIE UJUMBE WHATSAPP KWA NAMBA +255747141871