У нас вы можете посмотреть бесплатно CCM Mbinga wapokea utekelezaji wa Ilani ya wilaya waipongeza serikali kwa kusimamia utekelezaji. или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Chama Cha Mapinduzi wilaya ya Mbinga kimepokea utekelezaji wa ilani ya chama hicho katika wilaya hiyo ambapo miradi mbalimbali ya maendeleo imetekelezwa ikiwemo miradi ya afya,elimu,maji na miundombinu ya barabara. Akisoma utekelezaji wa ilani katika wilaya ya Mbinga mkuu wa wilaya ya Mbinga Mhe Kisale Makoli amesema katika sekta ya maji wilaya ya Mbinga inamahitaji ya jumla ya lita milioni 5.4 na serikali inatekeleza mradi mkubwa wa maji ambao unagharimu kiasi cha shilingi bilioni 4.6 ambao unatekelezwa katika halmashauri ya Mbinga mji na utatekelezwa kwa muda wa miezi 12. Akipokea utekelezaji wa ilani ya Chama Cha Mapinduzi katika wilaya ya Mbinga mwenyekiti wa chama cha Mapinduzi wilaya ya Mbinga ndugu Joseph Agustino Mdaka amesema serikali ya Chama Cha Mapinduzi imefanya mambo makubwa ambapo kamati ya siasa ya wilaya ya Mbinga imetembelea na kukagua miradi ambayo inatekelezwa katika wilaya hiyo. Nao baadhi ya wajumbe wa halmashauri kuu ya wilaya ya Mbinga wamesema wamelizishwa na utekelezaji wa miradi katika wilaya ya Mbinga hususani utekelezaji wa miradi ya afya.