• ClipSaver
  • dtub.ru
ClipSaver
Русские видео
  • Смешные видео
  • Приколы
  • Обзоры
  • Новости
  • Тесты
  • Спорт
  • Любовь
  • Музыка
  • Разное
Сейчас в тренде
  • Фейгин лайф
  • Три кота
  • Самвел адамян
  • А4 ютуб
  • скачать бит
  • гитара с нуля
Иностранные видео
  • Funny Babies
  • Funny Sports
  • Funny Animals
  • Funny Pranks
  • Funny Magic
  • Funny Vines
  • Funny Virals
  • Funny K-Pop

Salama Na HK Ep 46 | NJE KIDOGO YA BOX PART 1 скачать в хорошем качестве

Salama Na HK Ep 46 | NJE KIDOGO YA BOX PART 1 5 лет назад

скачать видео

скачать mp3

скачать mp4

поделиться

телефон с камерой

телефон с видео

бесплатно

загрузить,

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
Salama Na HK Ep 46 | NJE KIDOGO YA BOX PART 1
  • Поделиться ВК
  • Поделиться в ОК
  •  
  •  


Скачать видео с ютуб по ссылке или смотреть без блокировок на сайте: Salama Na HK Ep 46 | NJE KIDOGO YA BOX PART 1 в качестве 4k

У нас вы можете посмотреть бесплатно Salama Na HK Ep 46 | NJE KIDOGO YA BOX PART 1 или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:

  • Информация по загрузке:

Скачать mp3 с ютуба отдельным файлом. Бесплатный рингтон Salama Na HK Ep 46 | NJE KIDOGO YA BOX PART 1 в формате MP3:


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru



Salama Na HK Ep 46 | NJE KIDOGO YA BOX PART 1

#SalamaNa #SendTip Through MPESA #0762797291 Support us through https://anchor.fm/yahstonetown/support SUBSRIBE TO OUR CHANNEL https://bit.ly/YahStoneTownSubs Listen our Podcast on Spotify Link https://spoti.fi/2Uxr6Cm‬ ‪ApplePodcast Link https://apple.co/2Ou1bru‬ GooglePodcast Link https://bit.ly/GooglePodcastSalamaNa Audiomack Link https://bit.ly/YahStoneTownAudioMack ‪YouTube Link http://bit.ly/YoutubeSalamaNa Sikuwahi kuujua ufahamu wa Dr Hamisi Kingwangala kwenye suala la dini kwa kiasi ambacho ameniambia wakati tunaongea kwenye kikao chetu hiki, na alinilelezea kwa majina yake ya kizuoni huku akiniambia nini kwa binafsi yake anaweza kukifanya kwa kituo pale anapotaka, lakini pia aliniambia juu ya suala la yeye kutokua anaswali sala tano kama ilivyokua zamani na kwamba si jambo analojivunia asilan! Hii ilikua mara yangu ya pili kukutana na kuongea nae kwa kituo, kama ilivyokua kwa Taji nae pia niliongea naye miaka ya nyuma wakati nafanya Mkasi, na kwa kuongea naye round hii nimejifunza kwamba hawa ni kama watu wawili tofauti kabisa na si kwa ubaya, yule wa kwanza alikua si muongeaji kama huyo wa sasa kwasababu amekua kwa kiasi flani na kukua ni jambo ambalo sisi wenyewe na wazazi wetu huangalia kwa makini kuanzia pale ulipokua tuseme miaka mitano iliyopita na sasa na mipango na maratajio yako. Kwa hili Sheikh HK kaserebuka nalo vizuri tu. Hakuna mtu asiyemfahamu Hamis Kingwangala ndani ya nchi hii na nje, jinsi ambavyo alifanya kazi nzuri ya kampeni ya kuitangaza Tanzania duniani kwa umaarufu wa vivutio vya utalii wetu na utajiri wa nchi yetu pendwa. Alichukua muda huo pia kutembelea karibu mbuga zote na nchi hii na wakati huo huo kupambana na majangili na waharibifu wa wanyama pori, vita ambayo ilikua ndo stori ya kipindi flani hapo nyuma. Yeye HK alikua anamalizana na maneno ya walimwengu ambao walikua wanaongea mengi kwenye mitandano ni kwa yeye. kuendelea kupiga kazi yake vizuri tu mpaka akamaliza miaka mitano ya kwanza ya Rais aliyempa cheo hicho kwa usalama tu, nasema hivyo kwasababu kuna wengi ambao walikua wanateuliwa lakini siku zao za kukaa ofisini hazikua nyingi sana ila HK aliweza kuendana vizuri na mawimbi kwenye bahari ya uongozi ambayo bila ya shaka ilikua na mitihani yake. Pia umaarufu wake mwengine Bwana HK ulikuja baada ya kuwa ntumiaji mzuri sana wa Twitter, sehemu ambayo huitumia kwa kufanyia kazi yake ya kuitangaza nchi na pia kumalizana na ‘wabaya’ wake wote ambao wamekua wakila nae sahani moja kila mara panapokua na jambo ambalo yeye amesema au kuwakilisha mooni yake juu ya suala flani. HK hana tabia ya kuona haya kumjibu mtu ambaye kwa namna moja ama nyengine anakua kamgusa pale alipokua hapataki yeye au pengine tofauti tu ya mawazo, muda mwengine utakuta watu wamefika huko. Kubwa kuliko ilikua hii ya mwaka huu ambayo alihoji juu ya uteuzi wa CEO mpya wa klabu yake pendwa ya Simba na pia suala la mwekezaji kutimiza ahadi yake ya kuipa Simba shilingi bilioni 20 za kuendeleza klabu. Hili suala liliamsha zogo kubwa kati ya HK, muekezaji wa klabu pamoja na mashabiki wa Simba, lilifanya pia tujue siri za ndani za kibiashara kati ya wawili hawa na jinsi ambayo wote wawili walivyokua wanajibizana mitandano ilifanya watu wengi wanyanyue nyusi kwa mshangao na kujuzwa mambo ambayo pengine yalikua hayana faida kwa watu wengine kujua. Hivi karibuni wawili hawa walimaliza tofauti zao huko huko kwenye mitandao hiyo hiyo ya kijamii kama walivyofanya awali. Niloitaka kujua kama kuna muendelezo wa hayo maongezi yao, kama walishakutana toka majibizano yale yatokee, pia tuliongelea ajali ambayo aliipata akiwa kazini na ambayo pia ilizungumziwa na watu wengi. Pia niliongea nae kuhusu Rais Magufuli, uchaguzi wa mwaka huu ambao chama chake kimeshinda kwa ushindi mnono na jinsi ambavyo hakupata nafasi kwenye baraza la mawaziri na manaibu wake ambalo limeundwa hivi karibuni na ambavyo aliipokea taarifa hiyo. HK ni mtu poa sana, kijana ambaye ni Kiongozi, Baba, Kaka na mfanyabiasha mzuri tu ndo darasa letu la wiki hii na yangu matumaini kana kawaida atakua na jambo la kukufunza kwahiyo tafadhali enjoy. Love, Salama. Soundtrack Yeah by @MarcoChali    • Marco Chali Feat One The Incredible & Msam...   Follow: Twitter:   / yahstonetown   Instagram:   / yahstonetown   Facebook:   / yahstonetown   Channel Administered by Slide Digital Instagram: www.instagram.com/slidedigitaltz

Comments
  • Salama Na HK Ep 46 | NJE KIDDOGO YA BOX Part 2 5 лет назад
    Salama Na HK Ep 46 | NJE KIDDOGO YA BOX Part 2
    Опубликовано: 5 лет назад
  • GSM: MAMA YANGU ALINISIHI SANA NIWE KARIBU NA NDUGU ZANGU, NINAHESHIMU WATU WOTE MASIKINI AU TAJIRI 7 месяцев назад
    GSM: MAMA YANGU ALINISIHI SANA NIWE KARIBU NA NDUGU ZANGU, NINAHESHIMU WATU WOTE MASIKINI AU TAJIRI
    Опубликовано: 7 месяцев назад
  • Salama Na DEO GRATIUS SE6 EP64 | PRIVILEGED?! PART 1 | SendTip MPESA LIPA NO 5578460 2 года назад
    Salama Na DEO GRATIUS SE6 EP64 | PRIVILEGED?! PART 1 | SendTip MPESA LIPA NO 5578460
    Опубликовано: 2 года назад
  • Salama Na NANDY Ep 53 | MNOGESHAJI PART 1 4 года назад
    Salama Na NANDY Ep 53 | MNOGESHAJI PART 1
    Опубликовано: 4 года назад
  • ბაჩო ახალაია დაკავებულია 57 минут назад
    ბაჩო ახალაია დაკავებულია
    Опубликовано: 57 минут назад
  • Salama Na GARA B SE6 EP63 | BABA SHUGHULI PART 2 | SendTip MPESA LIPA NO 5578460 2 года назад
    Salama Na GARA B SE6 EP63 | BABA SHUGHULI PART 2 | SendTip MPESA LIPA NO 5578460
    Опубликовано: 2 года назад
  • Salama Na GARA B SE6 EP63 | BABA SHUGHULI PART 1 | SendTip MPESA LIPA NO 5578460 2 года назад
    Salama Na GARA B SE6 EP63 | BABA SHUGHULI PART 1 | SendTip MPESA LIPA NO 5578460
    Опубликовано: 2 года назад
  • EXCLUSIVE: GADNA NA MWANAE: Nataka mwanangu awe na ShugaDaddy/Siamini mahusiano 5 лет назад
    EXCLUSIVE: GADNA NA MWANAE: Nataka mwanangu awe na ShugaDaddy/Siamini mahusiano
    Опубликовано: 5 лет назад
  • Salama Na ALLYBEE SE6 EP72| KULE NI KULE... PART 1 | SendTip MPESA LIPA NO 5578460 2 года назад
    Salama Na ALLYBEE SE6 EP72| KULE NI KULE... PART 1 | SendTip MPESA LIPA NO 5578460
    Опубликовано: 2 года назад
  • Salama Na ZAHIR ZORRO SE6 EP52 | KIMULIMULI PART 1 | SendTip MPESA LIPA NO 5578460 2 года назад
    Salama Na ZAHIR ZORRO SE6 EP52 | KIMULIMULI PART 1 | SendTip MPESA LIPA NO 5578460
    Опубликовано: 2 года назад
  • Salama Na JK Ep 48| MSOGA UNO PART 1 4 года назад
    Salama Na JK Ep 48| MSOGA UNO PART 1
    Опубликовано: 4 года назад
  • Salama Na MwanaFA Ep 10 | KARAMA Part 1 5 лет назад
    Salama Na MwanaFA Ep 10 | KARAMA Part 1
    Опубликовано: 5 лет назад
  • Salama Na FAROUK KAREEM SE6 EP54 | SAILOR PART 1 | SendTip MPESA LIPA NO 5578460 2 года назад
    Salama Na FAROUK KAREEM SE6 EP54 | SAILOR PART 1 | SendTip MPESA LIPA NO 5578460
    Опубликовано: 2 года назад
  • Salama Na Shangazi Ep 28 | FIRST BORN Part 1 5 лет назад
    Salama Na Shangazi Ep 28 | FIRST BORN Part 1
    Опубликовано: 5 лет назад
  • Mkasi | S15E06 with Mkude Simba Extended Version 9 лет назад
    Mkasi | S15E06 with Mkude Simba Extended Version
    Опубликовано: 9 лет назад
  • 🛑LIVE; WAPINZANI WA YANGA WAPIGWA RUNGU CAF / GAMONDI APANIA KUIGARAGAZA UGANDA / FEISAL KUREJEA
    🛑LIVE; WAPINZANI WA YANGA WAPIGWA RUNGU CAF / GAMONDI APANIA KUIGARAGAZA UGANDA / FEISAL KUREJEA
    Опубликовано:
  • Salama Na HAJI Ep 52 | ALIYE KUTWIKA NDIYE ATAKAYE KUTUA PART 1 4 года назад
    Salama Na HAJI Ep 52 | ALIYE KUTWIKA NDIYE ATAKAYE KUTUA PART 1
    Опубликовано: 4 года назад
  • Salama Na Darassa Ep 16 | KAWIA UFIKE Part 1 5 лет назад
    Salama Na Darassa Ep 16 | KAWIA UFIKE Part 1
    Опубликовано: 5 лет назад
  • Salama Na ROSE MUHANDO SE6 EP53 | NIPE UVUMILIVU PART 1 | SendTip MPESA LIPA NO 5578460 2 года назад
    Salama Na ROSE MUHANDO SE6 EP53 | NIPE UVUMILIVU PART 1 | SendTip MPESA LIPA NO 5578460
    Опубликовано: 2 года назад
  • Внутри MBWENI, где богатые танзанийские политики и знаменитости строят особняки мирового класса 11 месяцев назад
    Внутри MBWENI, где богатые танзанийские политики и знаменитости строят особняки мирового класса
    Опубликовано: 11 месяцев назад

Контактный email для правообладателей: [email protected] © 2017 - 2025

Отказ от ответственности - Disclaimer Правообладателям - DMCA Условия использования сайта - TOS



Карта сайта 1 Карта сайта 2 Карта сайта 3 Карта сайта 4 Карта сайта 5