У нас вы можете посмотреть бесплатно KATIBU WA KIKUNDI CHA BAZIONI AMEOMBA KUONGEZEWA ARDHI. или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Katibu wa kikundi cha Bazioni kutoka kanisa la kikosi cha injili Tanzania, Kurasini ,Dar es Salaam,aeleza changamoto mbalimbali zinazowakabili wanawake wajasiriamali wa kikundi hicho ,ikiwemo kuharibika kwa mazao kutokana na kujaa Maji katika mashamba ifikapo kipindi cha masika jambo ambalo linasababisha kusimama kwa shughuli za uzalishaji ,kikundi hiki kinajihusisha na shughuli za kilimo cha mboga mboga (bustani). Aidha Bi Merika Mgendi amewaomba wadau mbalimbali kuwasaidia hasa wanahitaji kuongezewa ardhi ili kufanikisha shughuli za uzalishajl. Huku akiwahasa wanawake wajasiriamali kuzingatia misingi ya biashara kwani itawasaidia wao kukuza mitaji Yao. #wanawakemediaupdate #wanawakenamaendeleo