У нас вы можете посмотреть бесплатно BALAA PWANI MWA KENYA! HOFU YA KIPINDUPINDU KILIFI YAIBUA TUMBO JOTO! или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mvua ikiendelea kunyesha katika maeneo mbali mbali humu nchini, kaunti ya Kilifi inakodolea hofu ya mkurupuko wa kipindupindu kutokana na utupaji ovyo ovyo wa takataka hasa nepi zilizotumika. Wakizungumza na wanahabari wakati wa zoezi la kufanya usafi wa mazingira mjini Kilifi wadau wa mazingira kaunti hiyo wanawataka wakaazi kutupa takataka katika sehemu maalum zilizotengwa ili kurahisisha ukusanyaji wa takataka hizo na kuepuka kipindupindu katika msimu huu wa mvua ya masika. Subscribe to our channel MwanzoTV and don't forget to turn NOTIFICATIONS ON to ensure that you keep up with all breaking news and updates from East Africa, entire African region and the world. Usisahau ku SUBSCRIBE kwenye Channel yetu ili kupata taarifa mbalimbali kutoka Afrika Mashariki, Afrika nzima na dunia. Subscribe and follow @MwanzoTV on all social media platforms