У нас вы можете посмотреть бесплатно EPISODE 07: Jinsi ya Kusoma na Kuelewa Ripoti ya Uchunguzi wa Udongo (MazaoHub) или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Kuelewa ripoti ya uchunguzi wa udongo mara nyingi huonekana kuwa jambo gumu, hasa kwa mkulima au mmiliki wa shamba. Katika video hii, tunaelezea ripoti ya uchunguzi wa udongo ya MazaoHub hatua kwa hatua, kwa lugha rahisi na inayoeleweka. Utajifunza: Maana ya pH ya udongo na athari zake kwa mazao Jinsi ya kutafsiri viwango vya virutubisho (nutrients) Maelezo ya soil electrical conductivity (EC) na umuhimu wake Jinsi taarifa hizi zinavyosaidia kuboresha afya ya udongo na kuongeza uzalishaji Video hii inafaa kwa wakulima, wataalamu wa kilimo, na wamiliki wa mashamba au ardhi wanaotaka kutumia taarifa za uchunguzi wa udongo kufanya maamuzi sahihi kuhusu usimamizi wa udongo na matumizi ya mbolea. 🌱 Ripoti inayotumika: MazaoHub Soil Analysis Report 📲 Jifunze zaidi kupitia MazaoHub App: 👉 https://play.google.com/store/apps/de... #MazaoHub #UchunguziWaUdongo #SoilHealth #KilimoKidigitali #AgriTechTanzania