У нас вы можете посмотреть бесплатно WEBINAR EPISODE 4: Jinsi ya Kufanya Maamuzi Sahihi ya Kilimo kwa Kutumia Taarifa или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
ii ni rekodi ya webinar ya MazaoHub iliyolenga mjadala wa kilimo chenye tija kinachoongozwa na taarifa sahihi badala ya mazoea. Katika webinar hii, tulijadili kwa vitendo: Jinsi udongo unavyoathiri maamuzi ya kilimo Umuhimu wa kuchagua mbegu sahihi kulingana na mazingira Jinsi hali ya hewa inavyosaidia kupanga shughuli za kilimo Nafasi ya tafiti za kisayansi katika kuongeza mavuno na kupunguza gharama Webinar hii ni kwa wakulima, maafisa ugani, na wadau wa kilimo wanaotaka kulima kwa maarifa, mipango, na faida. 🌱 Mfumo uliotajwa: MazaoHub 📲 Jifunze zaidi kupitia MazaoHub App: 👉 https://play.google.com/store/apps/de... #MazaoHub #KilimoChenyeTija #KilimoKidigitali #AgriTechTanzania