У нас вы можете посмотреть бесплатно Kikosi cha Simba kipo kambini kwa maandalizi yao ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Al Masry или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
SIMBA SC | Meneja Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally amesema kikosi hicho kimerejea nchini na kipo kambini kwaajili ya maandalizi kuelekea mchezo wao wa marudiano wa mkondo wa pili wa robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Al Masry kwenye dimba ya Benjamin Mkapa. Kwa upande mwingine Ahmed amesema wachezaji wote wapo kambini na wapo vizuri kuelekea mchezo huo isipokuwa mlinzi wa timu hiyo, Che Fondoh Malone ambaye bado anaendelea na matibabu. Mchezo huo utapigwa Jumatano hii Aprili 9, 2025 kuanzia saa 10:00 jioni na kuruka MBASHARA #AzamSports2HD. Imeandaliwa na @jairomtitu3 #CAFCC #SimbaSC