• ClipSaver
  • dtub.ru
ClipSaver
Русские видео
  • Смешные видео
  • Приколы
  • Обзоры
  • Новости
  • Тесты
  • Спорт
  • Любовь
  • Музыка
  • Разное
Сейчас в тренде
  • Фейгин лайф
  • Три кота
  • Самвел адамян
  • А4 ютуб
  • скачать бит
  • гитара с нуля
Иностранные видео
  • Funny Babies
  • Funny Sports
  • Funny Animals
  • Funny Pranks
  • Funny Magic
  • Funny Vines
  • Funny Virals
  • Funny K-Pop

REV. DR. ELIONA KIMARO: KUILINDA IMANI скачать в хорошем качестве

REV. DR. ELIONA KIMARO: KUILINDA IMANI 2 года назад

скачать видео

скачать mp3

скачать mp4

поделиться

телефон с камерой

телефон с видео

бесплатно

загрузить,

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
REV. DR. ELIONA KIMARO: KUILINDA IMANI
  • Поделиться ВК
  • Поделиться в ОК
  •  
  •  


Скачать видео с ютуб по ссылке или смотреть без блокировок на сайте: REV. DR. ELIONA KIMARO: KUILINDA IMANI в качестве 4k

У нас вы можете посмотреть бесплатно REV. DR. ELIONA KIMARO: KUILINDA IMANI или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:

  • Информация по загрузке:

Скачать mp3 с ютуба отдельным файлом. Бесплатный рингтон REV. DR. ELIONA KIMARO: KUILINDA IMANI в формате MP3:


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru



REV. DR. ELIONA KIMARO: KUILINDA IMANI

IBADA YA JUMAPILI ( IBADA YA KWANZA ) - 20/10/2023* UJUMBE WA LEO: KUILINDA IMANI 2 Timotheo 4 : 7 Mwanzo 22 : 1 - 19 2 Timotheo 4 : 7 7 Nimevipiga vita vilivyo vizuri, mwendo nimeumaliza, Imani nimeilinda; Mwanzo 22 : 1 - 19 1 Ikawa baada ya mambo hayo Mungu alimjaribu Ibrahimu, akamwambia, Ee Ibrahimu! Naye akasema, Mimi hapa. 2 Akasema, Umchukue mwanao, mwana wako wa pekee, umpendaye, Isaka, ukaende zako mpaka nchi ya Moria, ukamtoe sadaka ya kuteketezwa huko juu ya mlima mmojawapo nitakaokuambia. 3 Ibrahimu akaondoka alfajiri, akatandika punda wake, akachukua vijana wawili pamoja naye, na Isaka mwanawe, akachanja kuni kwa ajili ya hiyo sadaka ya kuteketezwa, akaondoka, akaenda mpaka mahali alipoambiwa na Mungu. 4 Siku ya tatu Ibrahimu akainua macho yake, akapaona mahali pakali mbali. 5 Ibrahimu akawaambia vijana wake, Kaeni ninyi hapa pamoja na punda, na mimi na kijana tutakwenda kule, tukaabudu, na kuwarudia tena. 6 Basi Ibrahimu akazitwaa kuni za hiyo sadaka, akamtwika Isaka mwanawe; akatwaa moto na kisu mkononi mwake, wakaenda wote wawili pamoja. 7 Isaka akasema na Ibrahimu baba yake, akinena, Babangu! Naye akasema, Mimi hapa, mwanangu. Akasema, Tazama! Moto upo, na kuni zipo, lakini yuko wapi mwana-kondoo kwa sadaka ya kuteketezwa? 8 Ibrahimu akasema, Mungu atajipatia mwana-kondoo kwa hiyo sadaka, mwanangu. Basi wakaendelea wote wawili pamoja. 9 Wakafika mahali pale alipoambiwa na Mungu, Ibrahimu akajenga madhabahu huko, akaziweka tayari kuni, kisha akamfunga Isaka mwanawe, akamweka juu ya madhabahu, juu ya zile kuni. 10 Ibrahimu akanyosha mkono wake, akakitwaa kisu ili amchinje mwanawe. 11 Ndipo malaika wa Bwana akamwita kutoka mbinguni, akasema, Ibrahimu! Ibrahimu! Naye akasema, Mimi hapa. 12 Akasema, Usimnyoshee kijana mkono wako, wala usimtendee neno; kwa maana sasa ninajua ya kuwa unamcha Mungu, iwapo hukunizuilia mwanao, mwanao wa pekee. 13 Ibrahimu akainua macho yake, akaangalia, na tazama, kondoo mume yuko nyuma yake, amenaswa pembe zake katika kichaka. Basi Ibrahimu akaenda akamtwaa huyo kondoo, akamtoa awe sadaka ya kuteketezwa badala ya mwanawe. 14 Ibrahimu akapaita mahali hapo Yehova-yire,d kama watu wasemavyo hata leo, Katika mlima wa Bwana itapatikana. 15 Malaika wa Bwana akamwita Ibrahimu mara ya pili kutoka mbinguni 16 akasema, Nimeapa kwa nafsi yangu asema Bwana, kwa kuwa umetenda neno hili, wala hukunizuilia mwanao, mwanao wa pekee, 17 katika kubariki nitakubariki, na katika kuzidisha nitauzidisha uzao wako kama nyota za mbinguni, na kama mchanga ulioko pwani; na uzao wako utamiliki mlango wa adui zao; 18 na katika uzao wako mataifa yote ya dunia watajibarikia; kwa sababu umetii sauti yangu. 19 Basi Ibrahimu akawarudia vijana wake, wakaondoka, wakaenda zao pamoja mpaka Beer-sheba; Ibrahimu akakaa huko Beer-sheba. Mhubiri : Rev.Dr. Eliona Kimaro Kwa maoni na ushauri: Mch. kiongozi: Dr. Eliona Kimaro Simu: +255 655 516 053, +255 754 516 053

Comments
  • REV. DR. ELIONA KIMARO: ZITAFAKARI NJIA ZAKO 2 года назад
    REV. DR. ELIONA KIMARO: ZITAFAKARI NJIA ZAKO
    Опубликовано: 2 года назад
  • July 29, 2025 3 месяца назад
    July 29, 2025
    Опубликовано: 3 месяца назад
  • REV. DR. ELIONA KIMARO: NIDHAMU BINAFSI 2 года назад
    REV. DR. ELIONA KIMARO: NIDHAMU BINAFSI
    Опубликовано: 2 года назад
  • KAMA KUNA LAANA NI ILE YA KUMPIGA MWENZAKO KWA SIRI; KIKULACHO KI NGUONI MWAKO. 2 недели назад
    KAMA KUNA LAANA NI ILE YA KUMPIGA MWENZAKO KWA SIRI; KIKULACHO KI NGUONI MWAKO.
    Опубликовано: 2 недели назад
  • Ombeni Nanyi Mtapewa | Heaven's Demand | Rev. Dr. Eliona Kimaro 1 год назад
    Ombeni Nanyi Mtapewa | Heaven's Demand | Rev. Dr. Eliona Kimaro
    Опубликовано: 1 год назад
  • REV. DR. ELIONA KIMARO: IMANI NA SOKO 2 года назад
    REV. DR. ELIONA KIMARO: IMANI NA SOKO
    Опубликовано: 2 года назад
  • ANGUKO LANGU LILIGHARAMIWA NA YULE MWANAMKE NINA KISIRANI CHA KUTOSHA. 13 дней назад
    ANGUKO LANGU LILIGHARAMIWA NA YULE MWANAMKE NINA KISIRANI CHA KUTOSHA.
    Опубликовано: 13 дней назад
  • 12 дней назад
    "HOW SHALL THIS BE?" (LITAKUWAJE NENO HILI?) / REV. DR. ELIONA KIMARO
    Опубликовано: 12 дней назад
  • NDETO CIA KUMAKANIA NGARI YA LOISE KIM GUBUNJWK NA KUIYWO  MATHIKOINI MA BETTY BAYO 1 час назад
    NDETO CIA KUMAKANIA NGARI YA LOISE KIM GUBUNJWK NA KUIYWO MATHIKOINI MA BETTY BAYO
    Опубликовано: 1 час назад
  • VITA NA MAJESHI YA WATU WALIOKUFA 3/5 Bishop Dr Gwajima - bonyeza SUBSCRIBE 8 лет назад
    VITA NA MAJESHI YA WATU WALIOKUFA 3/5 Bishop Dr Gwajima - bonyeza SUBSCRIBE
    Опубликовано: 8 лет назад
  • REV. DR. ELIONA KIMARO: KUNGOJA KWENYE KIMYA/ TO WAIT IN SILENCE 1 год назад
    REV. DR. ELIONA KIMARO: KUNGOJA KWENYE KIMYA/ TO WAIT IN SILENCE
    Опубликовано: 1 год назад
  • REV. DR. ELIONA KIMARO: NITAKWENDA:I WILL: (THE LORD NEEDS YOU) 2 года назад
    REV. DR. ELIONA KIMARO: NITAKWENDA:I WILL: (THE LORD NEEDS YOU)
    Опубликовано: 2 года назад
  • UMUHIMU WA UWEPO WA MUNGU KATIKA MAISHA YAKO 4 года назад
    UMUHIMU WA UWEPO WA MUNGU KATIKA MAISHA YAKO
    Опубликовано: 4 года назад
  • TUVUMILIE HATA MWISHO KATIKA BWANA/ REV. DR. ELIONA KIMARO 7 дней назад
    TUVUMILIE HATA MWISHO KATIKA BWANA/ REV. DR. ELIONA KIMARO
    Опубликовано: 7 дней назад
  • REV. DR. ELIONA KIMARO:  KUISHI KESHO II 2 года назад
    REV. DR. ELIONA KIMARO: KUISHI KESHO II
    Опубликовано: 2 года назад
  • SADAKA YA MAVUNO INAYO MHESHIMISHA MUNGU NI CHEMICHEMI YA BARAKA KWA MTOAJI | MCH HERI RUMA 3 года назад
    SADAKA YA MAVUNO INAYO MHESHIMISHA MUNGU NI CHEMICHEMI YA BARAKA KWA MTOAJI | MCH HERI RUMA
    Опубликовано: 3 года назад
  • Uwe hodari na moyo wa ushujaa || Askofu Dr Paul Samwel 10 дней назад
    Uwe hodari na moyo wa ushujaa || Askofu Dr Paul Samwel
    Опубликовано: 10 дней назад
  • TRAUMA YA MAENDELEO KWA DAUDI / REV. DR. ELIONA KIMARO 6 дней назад
    TRAUMA YA MAENDELEO KWA DAUDI / REV. DR. ELIONA KIMARO
    Опубликовано: 6 дней назад
  • KUJALIWA KUWA (GOD AT WORK) / REV. DR. ELIONA KIMARO 4 дня назад
    KUJALIWA KUWA (GOD AT WORK) / REV. DR. ELIONA KIMARO
    Опубликовано: 4 дня назад
  • REV. DR. ELIONA KIMARO: MASHAKA YA MAISHA 2 года назад
    REV. DR. ELIONA KIMARO: MASHAKA YA MAISHA
    Опубликовано: 2 года назад

Контактный email для правообладателей: [email protected] © 2017 - 2025

Отказ от ответственности - Disclaimer Правообладателям - DMCA Условия использования сайта - TOS



Карта сайта 1 Карта сайта 2 Карта сайта 3 Карта сайта 4 Карта сайта 5