• ClipSaver
  • dtub.ru
ClipSaver
Русские видео
  • Смешные видео
  • Приколы
  • Обзоры
  • Новости
  • Тесты
  • Спорт
  • Любовь
  • Музыка
  • Разное
Сейчас в тренде
  • Фейгин лайф
  • Три кота
  • Самвел адамян
  • А4 ютуб
  • скачать бит
  • гитара с нуля
Иностранные видео
  • Funny Babies
  • Funny Sports
  • Funny Animals
  • Funny Pranks
  • Funny Magic
  • Funny Vines
  • Funny Virals
  • Funny K-Pop

REV. DR. ELIONA KIMARO: NIDHAMU BINAFSI скачать в хорошем качестве

REV. DR. ELIONA KIMARO: NIDHAMU BINAFSI 2 года назад

скачать видео

скачать mp3

скачать mp4

поделиться

телефон с камерой

телефон с видео

бесплатно

загрузить,

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
REV. DR. ELIONA KIMARO: NIDHAMU BINAFSI
  • Поделиться ВК
  • Поделиться в ОК
  •  
  •  


Скачать видео с ютуб по ссылке или смотреть без блокировок на сайте: REV. DR. ELIONA KIMARO: NIDHAMU BINAFSI в качестве 4k

У нас вы можете посмотреть бесплатно REV. DR. ELIONA KIMARO: NIDHAMU BINAFSI или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:

  • Информация по загрузке:

Скачать mp3 с ютуба отдельным файлом. Бесплатный рингтон REV. DR. ELIONA KIMARO: NIDHAMU BINAFSI в формате MP3:


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru



REV. DR. ELIONA KIMARO: NIDHAMU BINAFSI

IBADA YA EVENING GLORY - THE SCHOOL OF HEALING - 23 OCT 2023. KICHWA CHA SOMO : KUENDELEA TOKA NGUVU HATA NGUVU. '' FROM STRENGTH TO STRENGTH '' Zaburi 84 : 7 Zaburi 84 : 7 7 Huendelea toka nguvu hata nguvu, Huonekana Sayuni kila mmoja mbele za Mungu. 1.NIDHAMU BINAFSI ( SELF DISCIPLINE ) 1 Samweli 13 : 5 - 14 1 Samweli 15 : 10 - 31 2 Wafalme 5 : 20 - 27 1 Samweli 13 : 5 - 14 5 Nao Wafilisti wakakusanyana ili wapigane na Waisraeli, magari thelathini elfu, na wapanda farasi sita elfu, na watu kama mchanga ulio ufuoni mwa bahari kwa wingi wao; wakapanda juu, wakapiga kambi yao katika Mikmashi, upande wa mashariki wa Beth-aveni. 6 Hata Waisraeli walipoona ya kuwa wa katika dhiki, (maana watu walifadhaishwa), ndipo hao watu wakajificha katika mapango, na katika vichaka, na katika miamba, na katika mashimo, na katika mabirika. 7 Hata baadhi ya Waebrania walivuka Yordani, wakaingia nchi ya Gadi na Gileadi; lakini Sauli alikuwa akaliko huko Gilgali, nao watu wote wakamfuata wakitetemeka. 8 Akangoja siku saba, kwa kadiri ya muhula uliowekwa na Samweli lakini Samweli hakuja Gilgali; na hao watu wakatawanyika mbali naye. 9 Sauli akasema, Nileteeni hapa sadaka ya kuteketezwa na sadaka za amani. Akaitoa sadaka ya kuteketezwa. 10 Hata mara alipokwisha kuitoa hiyo sadaka ya kuteketezwa, kumbe! Samweli akatokea. Naye Sauli akatoka kwenda kumlaki na kumsalimu. 11 Samweli akasema, Umefanya nini? Naye Sauli akasema, Ni kwa sababu naliona ya kuwa watu wanatawanyika mbali nami, na wewe hukuja siku zile zilizonenwa; nao Wafilisti wamekusanyika pamoja huko Mikmashi; 12 basi nikasema, Wafilisti watanishukia sasa mpaka Gilgali, kabla sijaomba fadhili za Bwana; kwa hiyo nalijishurutisha, nikatoa sadaka ya kuteketezwa. 13 Naye Samweli akamwambia Sauli, Umefanya upumbavu; hukuishika amri ya Bwana, Mungu wako, aliyokuamuru; kwa maana Bwana angaliufanya ufalme wako kuwa imara juu ya Israeli milele. 14 Lakini sasa ufalme wako hautadumu; Bwana amejitafutia mtu aupendezaye moyo wake, naye Bwana amemwamuru yeye kuwa mkuu juu ya watu wake, kwa sababu wewe hukulishika neno lile Bwana alilokuamuru. 1 Samweli 15 : 10 - 31 10 Ndipo neno la Bwana likamjia Samweli, kusema, 11 Najuta kwa sababu nimemtawaza Sauli awe mfalme; maana amerudi nyuma, asinifuate, wala hakufanya nilivyomwamuru. Samweli akasikitika, akamlilia Bwana usiku kucha. 12 Samweli akaondoka asubuhi na mapema ili aonane na Sauli; Samweli akaambiwa ya kwamba, Sauli alifika Karmeli, na tazama, akajisimamishia ukumbusho, akageuka, akapita, akatelemkia Gilgali. 13 Samweli akamwendea Sauli; naye Sauli akamwambia, Ubarikiwe na Bwana, nimeitimiza amri ya Bwana. 2 Wafalme 5 : 20 - 27 20 Lakini Gehazi, mtumishi wa Elisha mtu wa Mungu, akasema, Tazama, bwana wangu amemwachilia huyo Naamani Mshami, asivipokee mikononi mwake vile vitu alivyovileta; kama Bwana aishivyo, mimi nitamfuata mbio, nipokee kitu kwake. 21 Basi Gehazi akamfuata Naamani. Naye Naamani, alipoona mtu apigaye mbio anakuja nyuma yake, alishuka garini amlaki, akasema, Je! Ni amani? Mhubiri : Rev.Dr. Eliona Kimaro Kwa maoni na ushauri: Mch. kiongozi: Dr. Eliona Kimaro Simu: +255 655 516 053, +255 754 516 053

Comments
  • REV. DR. ELIONA KIMARO: KUILINDA IMANI 2 года назад
    REV. DR. ELIONA KIMARO: KUILINDA IMANI
    Опубликовано: 2 года назад
  • REV. DR. ELIONA KIMARO: FURAHI SIKU ZOTE 1 год назад
    REV. DR. ELIONA KIMARO: FURAHI SIKU ZOTE
    Опубликовано: 1 год назад
  • SIKILIZA HII, ITAKUTOA MACHOZI LAKINI ITAKUJENGA SANA | #VisaVyaKweli #Nidhamu - Dr. Eliona Kimaro 6 месяцев назад
    SIKILIZA HII, ITAKUTOA MACHOZI LAKINI ITAKUJENGA SANA | #VisaVyaKweli #Nidhamu - Dr. Eliona Kimaro
    Опубликовано: 6 месяцев назад
  • Путин срочно прибыл в штаб войск / Резкое заявление главы Кремля 8 часов назад
    Путин срочно прибыл в штаб войск / Резкое заявление главы Кремля
    Опубликовано: 8 часов назад
  • KAMA KUNA LAANA NI ILE YA KUMPIGA MWENZAKO KWA SIRI; KIKULACHO KI NGUONI MWAKO. 2 недели назад
    KAMA KUNA LAANA NI ILE YA KUMPIGA MWENZAKO KWA SIRI; KIKULACHO KI NGUONI MWAKO.
    Опубликовано: 2 недели назад
  • REV. DR. ELIONA KIMARO: WEKEZA KWENYE UWEZO I 2 года назад
    REV. DR. ELIONA KIMARO: WEKEZA KWENYE UWEZO I
    Опубликовано: 2 года назад
  • JENGA NIDHAMU BINAFSI 4 года назад
    JENGA NIDHAMU BINAFSI
    Опубликовано: 4 года назад
  • Neema Gospel Choir - Nikurejeshee (Live Music Video) 1 год назад
    Neema Gospel Choir - Nikurejeshee (Live Music Video)
    Опубликовано: 1 год назад
  • UFAFANUZI VITA YA ISRAEL NA GAZA. BY BISHOP FJ KATUNZI 2 года назад
    UFAFANUZI VITA YA ISRAEL NA GAZA. BY BISHOP FJ KATUNZI
    Опубликовано: 2 года назад
  • Почему Бог решил ограничить ЧЕЛОВЕЧЕСКУЮ ЖИЗНЬ 120 годами? Узнайте библейскую причину 2 недели назад
    Почему Бог решил ограничить ЧЕЛОВЕЧЕСКУЮ ЖИЗНЬ 120 годами? Узнайте библейскую причину
    Опубликовано: 2 недели назад
  • REV. DR. ELIONA KIMARO: UNA KITU GANI NYUMBANI? 1 год назад
    REV. DR. ELIONA KIMARO: UNA KITU GANI NYUMBANI?
    Опубликовано: 1 год назад
  • TUVUMILIE HATA MWISHO KATIKA BWANA/ REV. DR. ELIONA KIMARO 8 дней назад
    TUVUMILIE HATA MWISHO KATIKA BWANA/ REV. DR. ELIONA KIMARO
    Опубликовано: 8 дней назад
  • REV. DR. ELIONA KIMARO: KUISHI KESHO I 2 года назад
    REV. DR. ELIONA KIMARO: KUISHI KESHO I
    Опубликовано: 2 года назад
  • LIFE WISDOM : AINA-5-ZA-NIDHAMU-BINAFSI-UNAZOZIHITAJI - JOEL NANAUKA 1 год назад
    LIFE WISDOM : AINA-5-ZA-NIDHAMU-BINAFSI-UNAZOZIHITAJI - JOEL NANAUKA
    Опубликовано: 1 год назад
  • СРОЧНОЕ ЗАЯВЛЕНИЕ ВЛАДИМИРА ПУТИНА. ЧТО ДАЛЬШЕ? НАПРЯЖЕНИЕ НАРАСТАЕТ. 3 часа назад
    СРОЧНОЕ ЗАЯВЛЕНИЕ ВЛАДИМИРА ПУТИНА. ЧТО ДАЛЬШЕ? НАПРЯЖЕНИЕ НАРАСТАЕТ.
    Опубликовано: 3 часа назад
  • Скандал века! Это не “план мира”, а некомпетентная афера /№1048/ Юрий Швец 2 часа назад
    Скандал века! Это не “план мира”, а некомпетентная афера /№1048/ Юрий Швец
    Опубликовано: 2 часа назад
  • SADAKA NA FUNGU LA KUMI 6 лет назад
    SADAKA NA FUNGU LA KUMI
    Опубликовано: 6 лет назад
  • Nidhamu Ya Fedha 4 года назад
    Nidhamu Ya Fedha
    Опубликовано: 4 года назад
  • KUJALIWA KUWA (GOD AT WORK) HAJIRI / REV. DR. ELIONA KIMARO 5 дней назад
    KUJALIWA KUWA (GOD AT WORK) HAJIRI / REV. DR. ELIONA KIMARO
    Опубликовано: 5 дней назад
  • Uwe hodari na moyo wa ushujaa || Askofu Dr Paul Samwel 11 дней назад
    Uwe hodari na moyo wa ushujaa || Askofu Dr Paul Samwel
    Опубликовано: 11 дней назад

Контактный email для правообладателей: [email protected] © 2017 - 2025

Отказ от ответственности - Disclaimer Правообладателям - DMCA Условия использования сайта - TOS



Карта сайта 1 Карта сайта 2 Карта сайта 3 Карта сайта 4 Карта сайта 5