У нас вы можете посмотреть бесплатно IRAN na URUSI ZAANZA MAZOEZI PAMOJA ya KIJESHI KWENYE BAHARI ya OMAN - MTIFUANO UKIONGEZEKA 📍IRAN или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
IRAN na URUSI ZAANZA MAZOEZI PAMOJA ya KIJESHI KWENYE BAHARI ya OMAN - MTIFUANO UKIONGEZEKA 📍IRAN @ONESMO SANGALALI - DAR CC; BAKARI MAHUNDU Iran na Urusi sasa wameshaanza mazoezi makubwa ya kijeshi ya majini kusini mwa Iran, hasa katika Bahari ya Oman na kaskazini mwa Bahari ya Hindi. Mazoezi haya yanatokea wakati mvutano kati ya Tehran na Washington unaendelea kuongezeka, hali inayosababisha tahadhari kubwa ya kimataifa juu ya uwezekano wa mzozo wa kijeshi katika kanda ya Mashariki ya Kati. Hatua hii inaonyesha kuwa Iran inajiandaa kikamilifu kukabiliana na shinikizo la kisiasa na kidhahiri kutoka Marekani na washirika wake, na pia kuonyesha nguvu zake za kijeshi na kushirikiana na Urusi kistratejia. ============================================================ ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136) ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania! ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx