У нас вы можете посмотреть бесплатно Lesson 37: Bembea ya Maisha: Mbinu za kimtindo na toni или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mbinu za kimtindo ni mbinu zinazotokana kwa msanii kuitumia lugha kwa njia maalum aghalabu kuipamba kazi yake au kusisitiza hoja yake. Mifano ni:tashbihi, sitiari, udamisi,tabaini, uzungumzinafsia, chuku,taashira,ritifaa,takriri,kinaya,litifati na tadmini. Mbinu za kimuundo ni mbinu ambazo hazitegemei lugha na huwa zinaathiri muundo wa hadithi- tuseme usimulizi au msuko.mifano: kisengere mbele,utabiri, kisengere nyuma, barua, nyimbo, ndoto, shairi, hadithi ndani ya hadithi na dayalojia. Toni nikiwango cha kidatu pamoja na mabadiliko yake ambayo hutokea wakati mtu anapotamka silabi au neno. Katika lugha mabadiliko ya toni hubadili maana za yale yanayosemwa. Toni huathiriwa na hisia/ hali na mazingira aliyomo mhusika au mwandishi. Kwa mfano, toni ya furaha, ya kuomboleza, ya kubembeleza, ya uchochezi, ya uchokozi, ya huzuni, ya huruma, ya unyenyekevu,ya uchungu, ya kuamrisha, ya hasira, ya dharau, ya majigambo na ya majuto.