У нас вы можете посмотреть бесплатно KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH : IBADA YA EVENING GLORY - THE SCHOOL OF HEALING 26/02/2026 или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH : IBADA YA EVENING GLORY - THE SCHOOL OF HEALING 26/02/2026 MAFUNGO YA KWARESMA 2026. SIKU YA 8 NENO KUU: Mhubiri 3:1 Kwa kila jambo kuna majira yake, Na wakati kwa kila kusudi chini ya mbingu. Matendo 3:19 Tubuni basi, mrejee, ili dhambi zenu zifutwe, zipate kuja nyakati za kuburudishwa kwa kuwako kwake Bwana; MADA: "KUTOKA MISIMU MPAKA KUSUDI" (FROM SEASONS TO REASON) UJUMBE WA LEO : KUTOKA MSIMU MPAKA KUSUDI UTULIVU WA MOYO WAKO ILI KUFIKIA KUSUDI Mithali 4 : 23 1 Samweli 24 : 4 - 6 Mithali 4 : 23 23 Linda moyo wako kuliko yote uyalindayo; Maana ndiko zitokako chemchemi za uzima. 1 Samweli 24 : 4 - 6 4 Nao watu wa Daudi wakamwambia, Tazama, hii ndiyo siku ile aliyokuambia Bwana, Angalia, nitamtia adui yako mikononi mwako, nawe utamtenda yo yote utakayoona kuwa mema. Basi Daudi akainuka, akaukata upindo wa vazi lake Sauli kwa siri. 5 Lakini halafu, moyo wake Daudi ukamchoma, kwa sababu amekata upindo wa vazi lake Sauli. 6 Akawaambia watu wake, Hasha! Nisimtendee bwana wangu, masihin wa Bwana, neno hili, kuunyosha mkono wangu juu yake, kwa maana yeye ni masihi wa Bwana. Mhubiri : Mwnj Henry Mlay Kwa maombi na ushauri : Mch. Kiongozi: Dr. Eliona Kimaro Simu: +255 655 516 053, +255 754 516 053 Mch. Msaidizi: Anna Kuyonga Simu: +255 713 553 443 YouTube: Kijitonyama Lutheran church Barua Pepe : Kijitonyamalutheran@gmail.com