У нас вы можете посмотреть бесплатно P Funk: "Nina swasiwasi utambulisho wa bongo fleva unapotea" или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Muandaaji mkongwe wa muziki wa Bongo fleva nchini Tanzania ambaye pia ndiye muasisi wa muziki huo Paul Matayes almaarufu P funk anasema anajivunia kuona bongofleva ilipofika licha ya kamba anawasiwasi utambulisho wake unapotea kutokana na wasaninii wengi wa sasa kutaka kuendana na søko la kimataifa. P funk aliiambia BBC jina Bongo Fleva liltokana na msemo wa mtaani miaka ya tisini kwamba ili uishi Dar es salaam ilikuwa lazima utumie uBongo. Kwa sasa P funk ameachana na uandaaji wa muziki na amejikita kwenye kilimo na uandaaji wa makala za utalii na filamu. Mwandishi wa BBC @eagansalla_gifted_sounds alimtembelea jijini Arusha na hIi hapa ni taarifa yake. - - #bbcswahili #BongoFleva #mūziķi Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili / @bbcnewsswahili