У нас вы можете посмотреть бесплатно JENERALI MABEYO AFUNGUKA A TO Z KIFO CHA RAIS MAGUFULI или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
DAR ES SALAAM: Machi 17, mwaka huu Tanzania itaadhimisha miaka mitatu tangu kifo cha Rais John Magufuli. Rais wa Kwanza kufariki Dunia akiwa madarakani katika historia ya Tanzania. Timu ya Daily News Dijital tumefanya mazungumzo na aliyekuwa Mkuu wa Majeshi nchini Jenerali Mstaafu Venance Mabeyo ambaye anatupitisha katika saa 24 za kabla ya Magufuli kuaga Dunia na saa 40 kabla ya Rais Samia Suluhu Hassan kuapishwa kuwa Rais wa awamu ya Sita katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mahojiano haya ni ya Kwanza kwa kiongozi huyu tangu astaafu wadhifa wake Juni 2022. Imeandaliwa na Mwandishi Wetu Follow us on: FACEBOOK; SpotiLeo: / spotileo-176. . HabariLeo: / habarileo DailyNews: / dailynewstz INSTAGRAM; HabariLeo: https://instagram.com/habarileo_tz?ig... SpotiLeo: https://instagram.com/spotileo?igshid... TWITTER; Twitter HabariLeo: https://twitter.com/HabariLeo?s=09