У нас вы можете посмотреть бесплатно MAELFU ya WAKIMBIZI wa CONGO WAVAMIA BURUNDI KUFUATIA MAPIGANO MASHARIKI MWA CONGO... или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
MAELFU ya WAKIMBIZI wa CONGO WAVAMIA BURUNDI KUFUATIA MAPIGANO MASHARIKI MWA CONGO... Zaidi ya watu 10,000 kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) wamekimbilia nchini Burundi katika kipindi cha siku chache zilizopita, kufuatia machafuko yanayoendelea mashariki mwa DRC. Taarifa hii imethibitishwa na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Burundi, huku serikali ikihaha kushughulikia ongezeko la wakimbizi wanaoingia nchini humo. Akizungumza na waandishi wa habari, Waziri wa Mambo ya Ndani wa Burundi, Martin Niteretse, alifafanua kuwa idadi kubwa ya wakimbizi hao waliwasili kati ya tarehe 14 na 16 Februari, wakivuka mpaka kupitia maeneo mbalimbali. "Tangu Jumapili tarehe 14 hadi Ijumaa Februari 16, Burundi imepokea karibu wakimbizi 10,000 kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo," alisema Waziri Niteretse. ============================================================ ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136) ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania! ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx