У нас вы можете посмотреть бесплатно WANANCHI TENGERUKA WAISHUKURU SERIKALI KWA UJENZI WA KITUO CHA AFYA KATARYO. или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Wananchi wa Kata ya Tengeruka katika Halmashauri ya Wilaya ya Musoma wameishukuru Serikali kwa kujenga Kituo cha Afya Kataryo, wakisema kituo hicho kitasaidia kupunguza adha ya kutembea umbali mrefu kufuata huduma za afya. Wakizungumza wakati wa zoezi la uwekaji wa jiwe la msingi la kituo hicho, baadhi ya wananchi wamesema hapo awali walilazimika kusafiri umbali mrefu kwenda katika kata za jirani kupata huduma za afya, hali iliyokuwa ikiweka hatarini maisha ya wananchi, hususani wanawake wajawazito pamoja na wagonjwa wanaohitaji huduma za haraka. Wananchi hao wameeleza kuwa ujenzi wa kituo hicho utakuwa mkombozi mkubwa kwa wakazi wa Kata ya Tengeruka na maeneo ya jirani, hivyo wameiomba Serikali kuhakikisha mradi huo unakamilika kwa haraka ili wananchi waanze kunufaika na huduma hizo muhimu.