У нас вы можете посмотреть бесплатно CHIKOKA ATOA AGIZO ZITO! AITAKA HALMASHAURI KUWAPOPOESHA WANANCHI MIKOPO YA ASILIMIA 10 или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mkuu wa Wilaya ya Musoma, Juma Chikoka, ameitaka Halmashauri ya Wilaya ya Musoma kuhakikisha wananchi wanapatiwa mikopo ya asilimia kumi kwa wakati ili kuwasaidia kujikwamua kiuchumi. Akizungumza katika kikao cha kupokea na kujadili Rasimu ya Bajeti kwa mwaka 2026/2027, DC Chikoka amesisitiza kuwa fedha hizo ni haki ya wananchi na zinapaswa kutolewa bila urasimu wala ucheleweshaji usio wa lazima. Aidha, amewataka watendaji kusimamia kwa umakini utolewaji wa mikopo hiyo ili iwe chachu ya maendeleo kwa vijana, wanawake na makundi maalumu.