У нас вы можете посмотреть бесплатно Mapya yaibuka sakata la mabinti 132 Jijini Dodoma или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Ripoti ya awali ya ufuatiliaji wa sakata la mabinti waliokutwa wakiishi katika nyumba moja Jijini Dodoma kwa madai ya kupatiwa mafunzo ya dini ya Kiislamu, imebainisha kuwa baadhi yao walikatisha masomo, kubadilisha majina na kituo walichokuwa wakiishi sambamba na kutokuwa na leseni ya usajili. Kutokana na ripoti hiyo, Mkuu wa Mkoa wa Dodoma,Maryrose Senyamule ameelekeza watoto hao 132 kukabidhiwa kwa wakuu wa wilaya walizotoka na kuendelea na masomo huku hatua mbalimbali za kisheria zikiendelea kuchukuliwa.