У нас вы можете посмотреть бесплатно "Fedha inatabia ya kuanza kichwani kwanza, ikitoka kichwani ndio inakuja mkononi." Mwl. Emilian или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
"Jambo la kwanza litakalotusaidia tufanye vizuri kwenye fedha biashara na uwekezaji ni kuwa na mawazo mazuri ya kibiashara kwanza na miradi." Anasema Mwalimu Emilian "Kwenye Mithali 21:5 Bibilia inasema mawazo ya mwenye bidii huelekea kwenye utajiri tu. Huwezi kuwa na fedha ama mali kama hujaiwaza na kuifanyia kazi. Mungu akusaidie ukawe na mawazo ya kitajiri." .......................................... (Kwa ajili ya Muktadha Mzungumzaji aliyopo pembeni kwenye baadhi ya vipande vya video hii alikuwa ni mtafsiri wa mtoa mada. Tunaheshimu nafasi yake lakini tumekata kwa nia ya kupunguza urefu wa video na pia kwa na lugha moja kwa matumizi haya) Kuona na Kutumia Fursa – Sehemu ya 1 🎙️ Na: Emilian Busara 📌 #FURSA | #WealthBeyondSalary Je, unataka kuondokana na utegemezi wa mshahara pekee? Katika semina hii Emilian Busara alifafanua: ✅ Namna ya kuzitambua fursa zinazokuzunguka ✅ Mbinu za kuzigeuza kuwa kipato halisi ✅ Mtazamo sahihi wa kifedha nje ya ajira ya kawaida Hii ni sehemu ya mfululizo wa video zinazolenga kukuinua kiuchumi kwa kutumia maarifa, ubunifu, na hatua madhubuti. 👇 Tuambie kwenye comment: Ni fursa gani umeona/wazo lakini bado hujaitumia? ------------------------------------------ 🔔 Angalia H.W Tv Kwa njia ya YouTube kwa mfululizo kamili na mafunzo mengine ya maisha, fedha, ujasiriamali, na uongozi. 📤 Share video hii na mtu yeyote anayetaka kuanza safari ya uhuru wa kifedha. ............................................................................... Video Credits : CCC Upanga #Miradi #Kazi #Nyumba #Uchumi #Emilian #Busara #Hisa #Utt #uwekezaji #fedha #mapato #Mafanikio #Kipato #FedhaSmart #Uwekezaji #BiasharaNdogo #UhuruWaKifedha Welcome to the home of positive vibes!