У нас вы можете посмотреть бесплатно WAZIRI WA FEDHA AELEZA NJIA YA KUDHIBITI UHABA WA ( USD) DOLA NCHINI или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
SHIRIKISHO la Wamiliki wa Viwanda Tanzania (CTI) wemekutana na Waziri wa Fedha, Dk. Mwigulu Nchemba katika kongamano la kujadili namna ya kukabiliana na uadimikaji wa Dola ya Marekani (USD) sokoni unaopelekea masoko ya biashara kuyumba. Mkutano huo umefanyika leo Septemba 04, 2023 jijini Dar es Salaam na kuhudhuriwa na wawekezaji mbalimbali waliotoa maoni na ushauri kwa serikali ili kuboresha upatikanaji wa dola. Miongoni mwa yaliyoamuliwa ni pamoja na kufufua upya mfuko wa dhamana kwa wazalishaji wa bidhaa za kuuza nje, na hili linasimamiwa na Wizara ya Fedha na Benki Kuu (BOT). Aidha, Mwigulu amesema ni vyema wawekezaji wazalishe zaidi bidhaa za matumizi ya ndani na kuuza nje Ili kuepukana na kuagiza bidha za nje kuja ndani kwa kutumia Dola. Naye Mwenyekiti wa CTI, Paul Makanza amesema tatizo lililopo ni la muda mfupi na linatatulika kutokana na vikao vilivyo fanyika na mapendekezo waliyo yatoa kama kuwepo kwa kipaumbele kwa matumizi ya lazima kama wamiliki wa wiwanda na wafanyabiashara wakubwa. Follow us on: FACEBOOK; SpotiLeo: / spotileo-176. . HabariLeo: / habarileo DailyNews: / dailynewstz INSTAGRAM; HabariLeo: https://instagram.com/habarileo_tz?ig... SpotiLeo: https://instagram.com/spotileo?igshid... TWITTER; Twitter HabariLeo: https://twitter.com/HabariLeo?s=09