У нас вы можете посмотреть бесплатно BoT yapigilia msumari matumizi ya Dola za Marekani nchini или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Benki Kuu ya Tanzania (BOT) imepigilia msumari katazo lake la matumizi ya fedha za kigeni kwa wakazi wa Tanzania katika kulipia bidhaa na huduma nchini, msisitizo uliotolewa hii leo baada ya tamko la kwanza kutolewa Agosti 2007 na la pili Disemba 2017. Kwa mujibu wa taarifa ya Gavana wa BOT, Emmanuel Tutuba katika siku za karibuni imebainika kuwepo kwa ukiukwaji wa tamko hilo na kueleza kuwa maagizo yaliyotolewa hapo awali kuhusu matumizi ya fedha za kigeni yanapaswa kuendelea kuzingatiwa. #fedhazakigeni #benkikuu #huduma #gavana #tamko #maagizo