У нас вы можете посмотреть бесплатно DKT. BASHIRU APIGA MARUFUKU VIWANDA KUVUA, KULANGUA SAMAKI KWA WAVUVI или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Balozi Dkt. Bashiru Ally Kakurwa amepiga marufuku viwanda vya kuchakata samaki nchini kuingiza mitumbwi yao majini kwa ajili ya kuvua au kununua samaki kwa wavuvi waliopo ziwani ambapo amesema kuwa hatua hiyo inavuruga soko, kuwafilisi na kuwafukarisha wavuvi. Balozi Dkt. Bashiru amesema hayo mara baada ya kutembelea na kukagua kiwanda cha kuchakata samaki cha Nile Perch kilichopo Muleba mkoani Kagera Desemba 29,2025 ambapo ameongeza kuwa kitendo hicho kimekuwa kikifanywa na viwanda vyote vya kuchakata samaki nchini hatua ambayo ameeleza kuwa inawachochea wavuvi hao kufanya uvuvi usiofuata sheria kutokana na kukosa ushindani wa haki na kuwa na mapato madogo.