У нас вы можете посмотреть бесплатно DKT. BASHIRU AHIMIZA USHIRIKIANO ULINZI WA RASILIMALI ZA UVUVI или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Balozi Dkt. Bashiru Ally Kakurwa amewataka wadau wote wa sekta ya Uvuvi kushirikiana na Serikali katika ulinzi wa Rasilimali za Uvuvi ikiwa ni pamoja na kukomesha uvuvi usiofuata sheria na taratibu. Balozi Dkt. Bashiru amesema hayo Desemba 23,2025 wakati akizungumza na wadau wa sekta hiyo waliopo mwalo wa Kakukuru Wilaya ya Ukerewe mkoani Mwanza ambapo ameeleza kuwa katika kipindi cha uongozi wake hatochoma nyavu za Uvuvi au kupima samaki kwa rula kama ilivyokuwa awali.