У нас вы можете посмотреть бесплатно JESHI LA JADI SUNGUSUNGU WATAKIWA KUFUATA SHERIA NA KANUNI или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Anamringi Macha amelitaka Jeshi la Jadi Sungusungu Wasalama kuzingatia Sheria, Kanuni na Taratibu za Nchi wanapokuwa wanatekeleza majukumu katika maeneo yao huku akisisitiza kuacha kabisa tabia ya kuwa wanawatenga wenzao ikiwa ni sehemu ya moja kati ya adhabu zao. akiwa ameongozana na Katibu Tawala Mkoa wa Shinyanga CP. Salum Hamduni ameyasema haya leo tarehe 28 Septemba, 2024 katika Kijiji cha Manyanda Kata ya Usanda Tarafa ya Samuye katika Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga ambapo pamoja na mambo mengine amewataka sungusungu kuwa sehemu ya kupambana na kukemea aina yoyote ya uhalifu miongoni mwa jamii. amelieleza jeshi hilo kuhakikisha wanatekeleza wajibu na majukumu yao ya kila siku kwa kuzingatia Sheria, Kanuni na Taratibu za nchi, lakini kuacha tabia ya kuwatenga wananchi ikiwa kama sehemu ya adhabu kwao na kuhakikisha wanasimamia suala zima la mmomonyoko wa maadili kwa vijana na kuzuia kwa nguvu zote aina yoyote ya ukatili kwa upande wao wananchi waliohudhuria tukio hilo wameshukuru jitihada zinazofanywa na jeshi Sungusungu huku wakieleza kuwa sasa hakuna matukio ya uhalifu kama zamani